Huyu ni waziri msomi ambaye kama walivyo wasomi wengi nchini,hawezi kuwaza uhalisia.Anawaza vitu vya kwenye makaratasi.Anaamini nadharia kuliko uhalisia wa mambo.
Nimeona akitoa ushauri wake kwamba sera ya kuingiza magari yaliyotumika ipitiwe upya.Sababu alizotoa eti kwa sasa Tanzania inatengeneza magari mapya.Magari yenyewe yanayozungumzwa ni aina ya Tata na mengine ya India
Katika uzoefu wa kawaida,magari haya ya India ni magari ambayo hayadumu kabisa.Mfano ni gari aina ya mahindra.Haya magari kutoka India kwa sasa karibu yote ni mabovu. CCM waliwahi kuyaagiza kwa wingi.Wakati huo huo,kuna magari yaliingia kutoka Japan kabla ya hizo mahindra yapo hadi sasa mfano Suzuki Samrai,Mitsubishi pajero na hata kuna Toyota Carina zilizoingia kama used miaka ya 1990 zipo hadi leo barabarani.
Ninaingiwa na mashaka iwapo hawa wahindi hawajafanya yao kama ilivyo kawaida yao kutoa rushwa ili mambo yao yabebwe na serikali.Na wanaotumika ni wasomi hawa hawa.
Watu wa kipato cha kati wanayahitaji magari used.Kitendo cha kutaka kupitia sera ili kuzuia uingizwaji wa magari used ni kitendo cha kutokufikiri vizuri.
Hivi sasa unaona watu wa chini wanapata msaada mkubwa wa usafiri wa bajaji lakini serikali ndipo imeweka kodi kubwa ili kukomoa wanunuzi wa bajaji na hadi bajaji inauzwa bei karibu sawa na gari.
Tunawaomba wasomi.msijisahau kiasi hicho,hata kama mnajali matumbo yenu.
Si juzi juzi tu mmepitisha mkataba wa DP world? Mnataka asipate mzigo wa magari?
Au hamjatosheka tu na mlichopata huko hadi muendelee kuwakandamiza watu wa kipato cha kati na chini ili wasiinuke kama ninyi?