MV Kigamboni mnatesa na kusumbua abiria kwa kuzidisha idadi ya magari

julaibibi

JF-Expert Member
Jun 16, 2020
2,608
3,402
Hii wala haihitaji waje viongozi wa ngazi za juu. Mnatesa watu, mnajaza magari inapofikia zamu ya kuingia watu wanaingia kama tundu la sindano, sio sawa.

Hili panton ni dogo ilishashauriwa kwa vile ni dogo mstari mmoja usiingie gari. Sasa wao SUMA wanajaza magari mistari yote na watu wanajazana joto watoto wadogo wanaumia kwenye jua.

Mnaingia kwenye panton adhabu. Kumbuka na wageni pia wanatumia kivuko hii italeta picha gani?.

Kwanini mnajaza magari kwenye panton? Dereva leo anapiga kelele hashushi mtu au kwa vile yeye anakaa juu kule anakula upepo.

MV kigamboni.jpg
 
Naamini hata hii thread umeiandikia kwenye pantoni humo humo yaani umeandika uku unageuka geuka nyuma TISS waskuone nibola ungesubilia ufike nyumbani ila yote kwayote nataa niseme hasubui au jioni kama Afya yako yakuunga unga sio lakupanda lile dubwasha wananchi wa kigamboni poor person wanateseka sana.
 
Acha tu mkuu. Naomba mheshiwa makonda asaidie hili. Watoto na jua la leo nadhan siku watazimia wale halafu ma boya mazima wameyatupa nyuma ya ofis yao yanaoza.kwanin kama hayafai wasigawie wavuv
 
unakerwa na magari mkuu, wivu unakusumbua kwa vile huna gari
 
Hii wala haihitaji waje viongozi wa ngazi za juu. Mnatesa watu, mnajaza magari inapofikia zamu ya kuingia watu wanaingia kama tundu la sindano, sio sawa.

Hili panton ni dogo ilishashauriwa kwa vile ni dogo mstari mmoja usiingie gari. Sasa wao SUMA wanajaza magari mistari yote na watu wanajazana joto watoto wadogo wanaumia kwenye jua.

Mnaingia kwenye panton adhabu. Kumbuka na wageni pia wanatumia kivuko hii italeta picha gani?.

Kwanini mnajaza magari kwenye panton? Dereva leo anapiga kelele hashushi mtu au kwa vile yeye anakaa juu kule anakula upepo.

View attachment 2833712
Ruhusa ya kupiga picha umeitoa wapi ewe mwaka wa kwanza
 
Ruhusa ya kupiga picha umelitoa wapi ewe first year!
Acha tu mkuu. Naomba mheshiwa makonda asaidie hili. Watoto na jua la leo nadhan siku watazimia wale halafu ma boya mazima wameyatupa nyuma ya ofis yao yanaoza.kwanin kama hayafai wasigawie wavuv

Shida imekuwa maboya tena sio magari ama
 
Kile kidogo cha Azam nacho balaa tupu
Mbio zako ndizo zitakufanya uandw au usipande.

Watu wanadhalilika wanadondoka.

Aisee,hii nchi kila mahala tabu tupu.
 
Hii wala haihitaji waje viongozi wa ngazi za juu. Mnatesa watu, mnajaza magari inapofikia zamu ya kuingia watu wanaingia kama tundu la sindano, sio sawa.

Hili panton ni dogo ilishashauriwa kwa vile ni dogo mstari mmoja usiingie gari. Sasa wao SUMA wanajaza magari mistari yote na watu wanajazana joto watoto wadogo wanaumia kwenye jua.

Mnaingia kwenye panton adhabu. Kumbuka na wageni pia wanatumia kivuko hii italeta picha gani?.

Kwanini mnajaza magari kwenye panton? Dereva leo anapiga kelele hashushi mtu au kwa vile yeye anakaa juu kule anakula upepo.

View attachment 2833712
Nchi ina laana
 
Naamini hata hii thread umeiandikia kwenye pantoni humo humo yaani umeandika uku unageuka geuka nyuma TISS waskuone nibola ungesubilia ufike nyumbani ila yote kwayote nataa niseme hasubui au jioni kama Afya yako yakuunga unga sio lakupanda lile dubwasha wananchi wa kigamboni poor person wanateseka sana.
Tanzina imekuwa sio salama mpka kuandika nyuzi tuhofie TISS ebu punguza hizo nonsense
 
Back
Top Bottom