Ushauri kwa wanaume

Ushauri kwa wanaume

Emb miss chaga tuanze sasa..Nenda jukwaa la siasa uanzishe mada uone tunavyofunguka (kama utaweza lakini)...And for your informations guys uliowaongelea hapo most of them hawapo jf...trust me..Ila siku ukibahatika kukutana na mimi nahisi utakuwa umemalizia mbali kiu yako...karibu bibie ila kikwazo ni kwamba unauwezakano mkubwa wa kuwa dada yangu..Emb tujiongeze pm
 
Kule uchochoroni naogopa aisee... yawezekana pia hawapo hapa ila a man awe na wide mind
 
Kumbe boya tu malizia mkuuuu.... sasa si kwamba natongozwa kila siku sipo kiivyo ila lengo langu anayekutongoza yukoje anafocus nini that all
Miss chagga sorry bana ww si boya nafuta kauli...ila yaani mm nachomaanisha i love u, baby umeumbika, sijawahi ona kama wewe...hizo lazima ziwepo..lkn siku za kwanza za mapenzi(penzi)...sidhani km siku za kwanza kwanza mtu ataanza kuzungumzia lissu anavyokausha magamba bungeni, au man u na moyes wanavyokuwa wa saba kila siku washinde wafungwe, mtu aongelee viwanjwa vinavyouzwa kijichi...lkn kwenye mwendelezo i love u hukauka. Na mambo ya msingi yanaanza..hata message zinaanzaga kuwa kavu kwenye mwendelezo..sasa nachoshangaa hamnaga mwendelezo, au kila siku mnaanza/ unaanza upya(penzi jipya)..!
 
Ha ha ha mkuu umenifurahisha... na mi sina maana kwamba usiongelee penzi ongea lakini si tunakaa masaa mawili mwanzo mwisho kinisifia na kuniambia i love huu ni ujinga... changanya mambo ukiona kitu au kusikia discuss na mi si akili yako inawaza nitamvua lini pichu miss chagga
 
We Vikki kuwa mapenzi yana percentage kubwa sana katika maisha ya binadamu? Ndo maana tuko ivo
 
Back
Top Bottom