Jamani Miss chagga una nywele nzr,yani nikiziona v me hoi kabisa
Aiseeeeee
Mbona kama huu ujumbe una mtumia asiye weza kuona wala kuusoma?
naweza kunywa hata lita mbili za maji kwa namna navyo pata hasira kusikiliza huo ujinga wake aiseeYaani unaweza sinzia never to wake up kwa kweli.
Kuna mijanaume bwana ni janga la kitaifa.
They look so smart but their minds are so empty.
Hawanaga cha kuongelea.
Akishika topic ni hiyo hiyo.
Janga la kitaifa mpaka nimeshindwa janga la kitaifa linaitwaje in English.
Nisije sema wonder of the nation. lols. hahaaaa
..lols, ndio umeamua kutuita " disaster" ya kitaifa eeh!!Kuna mijanaume bwana ni janga la kitaifa.
They look so smart but their minds are so empty.
Hawanaga cha kuongelea.
Akishika topic ni hiyo hiyo.
Janga la kitaifa mpaka nimeshindwa janga la kitaifa linaitwaje in English.
Nisije sema wonder of the nation. lols. hahaaaa
Ujumbe umemfikia popote alipo. Umenichekesha kwenye mpira
lazy ass dude hawawezi kujua what girls want atleast a player kidogo anaweza kujua
mi mzima hofu juu yako hivi unajua kama nakutamani sana ww!!!
Wanakuchosha sana miss chagga wetu, I love u
Yaani hivi hivi a slow and painful death.
jamani i love ni sawa lakini si tunakutan lisaa limoja unasema ilove 50 hivi ni nini?
nadhani wameelewa japo wameleta ubishi sana
naweza kunywa hata lita mbili za maji kwa namna navyo pata hasira kusikiliza huo ujinga wake aisee
ha ha ha haha... mpenzi wala usitafute kingereza ,..... alafu unakuta ni wabishi hawakubali lkuelekezwa yani huwa natamani kupanda juu ya mtiiii kwa kweli
..lols, ndio umeamua kutuita " disaster" ya kitaifa eeh!!
..sasa kama mko incompatible unategemea mtaongea nini, compatibility test ya kwanza ni flow ya stories...kama mtu umetoka nae out for a date alafu hata cha kuongea nae huna...unategemea nini!!!
Hahahaaaaaa.... mkuu naona wajuaji wa mambo wamekushika pabaya! Mie nasubiri hoja zako tu, kulipangua hili!ha ha ha haha ha haha ha ni kweli lakini ndo nataka kujua mkuuu ,,,, i love i hate this words jamani tooo much mnaboa........ alafu tyta huku jf haina maana ndo maisha yangu ndo unipende uje unitongoze kisa nakaa sana mmu probably that is not me....
Nawasalimu wote, mambo zenu, shikamoo wakubwa ila siwanyimi chochote unaruhusiwa kuomba
Nirudi kwenye mada jamani kaka zangu na rafiki zangu wa kiume kwenye swala la kumtongoza mwanamke mnaboa jamani kila ukija unaongela mambo ya mapenzi tu oooh i love you, oooh sijui unaumbo nzuri hivi jamani haya maneno yanachosha kila siku kuongelea hayo hayo.
Okey basi mwanamke najaribu kubadilisha mada hata tuongelee utamaduni wetu huna hoja unajiumauama kiuchumi ndo kabisa nakupoteza hivi niwaulize huwa mnafikiria nini kwenye akili zenu?
All over the way unafikiria kuniambia i love you mimi huwa unanichosha jamani lets talk about other issues nichekeshe, tuongeleee uchumi, okey basi be funny mtu anaishia kukwambia i love na kubusu busu mikono hivi ni nini lakini BE CREATIVE GUYS LOH TOOO MUCH
Unakuta mwanaumme unamuuliza what is your plan for future anaongelea vitu vya ajabu a wengine amna majibu yani mimi nachefuka moyo nikiona mwanume ajielewi natamani kutapika.
Basi wanaume jiongeze basi ongea love yes, hapo hapo ongelea uchumi, siasa na hata utamaduni ili nijue una upeo gani wa kufikiri loh, mpira usiongelee wala movie.
Ihope mtajiongeza kwa kweli, nawapenda wote.
hahahaaa. Mpaka disaster lilinitoka.
Yeah like you and me are compatible. Unaweza kujikuta unawish the night never comes to an end.