Ushauri kwa wanaume

Ushauri kwa wanaume

Umeongea kitu cha maana saana .
Kama ungekua bunge spika angeaema Hoja yako ina mashiko.
Ila nataka nikueleweshe jambo moja.,iko hiviii ,

Mwanaume anapomwaproach mwanamke ,anavaa tabia husika ya mwanamke mwnyewe,mfano, ww Miss Chaga kakukuta unapenda siasa ,atakuja Akiongelea updates za Bunge na Mambo ya siasa.. Kama ww napenda habari za Macelebrities atakuja hivyo hivyo , yaani ni kama kinyonga ,atahakikisha anamartch na ww kwa namna unavyotaka ,ili tu akupate .
Mwanume hawezi ongelea jambo ambalo halikuvutii ,zaidi atakuboa.
Kuna wanawake hata ukiwauliza Raisi wa Tanzania ni nani ,anaweza kukuambia Ni Mkapa, mtu ka huyo ina maana siasa hazipendi,kuongea siasa na yeye ni kimchefua.

Hivyo basi ,jambo hili linaanza moja kwa moja na nyie wenyewe ,ni namna ipi mnajiweka mnapotongozwa. ??

" Miss Chaga" ww Atakayekutongoza ni lazima aje akiwa ana Msimamo wa Muundo wa Serikali unayoihitaji.
Na aweze kuutetea muundo huo.

wanashindwa kufanya hivyo ndo maana nikasema... ila kiukweli men should be creative na si kujumuisha mambo
 
Haaa sijawahi chat na wewe nikiamini hauko interesting..now najiuliza if I was wrong.....Nakuja jiandae na habari za gdp na uchumi wa dunia..ole wako ulete story za wema na kajala
Wewe huyu!!!! Hujatendea haki ukweli
 
ujumbe nimeupata kiongozi nitafanyia kazi,nitafute pv sms upate kuthibitisha kuwa ujumbe nimefanyia kazi .
nimeipenda hiyo
 
Kweli wewe mama mchaga pesa siasa nk sio mapenzi
Ila ki ukweli umetuchana haswa ili la kubusubusu mikono mimi nikiona mshikaji anafanya huwa nampunguza

sawa mkuu ila kiukweli kila kitu kikizidi kinaboa
 
we mchaga nini unatakla jamaa aongelee mkwanja ili ujue namna ya kumchuna acha hizo..... of course kweli kila jambo na wakati wake im not sure kama kuna mtu ataongelea love connect all the time atakuwa bururaaaa....
 
What women want ....
Hata google huwa inachemka kutoa jibu sahihi....

Yaani kama ndo vigezo vyako hivyo Miss Chagga

Naanza kupiga msuli tembo ili niwefit.
Ila tu usiulize maswali kama polisi...
 
hapo umeongea kweli kila jambo na wakati wake mtu kila ukikutana nae anakubusu mikono na kukwambia ilove that is sheeet
 
.... Hii ni kwa sababu kutongoza sio kazi rahisi,inabidi uwe na kaupeo kidogo ili usimchoshe mtongozwa,lakini pia inategemea na aina ya mazungumzo gani mko nayo kwa wakati huo na upeo wa huyo mwanaume.
 
wewe malizia sentensi

Namaliizia

Ww unavyovipenda kujadili ni tofauti na mwanamke mwingine...
Mngekuwa kama formula au pai..

Ingekuwa rahisi kwa ss wanaume kuapply ,
Unachukua data unachomeka kwnye formula .....walaaaaaaa
Jibu hilooo.
 
What women want ....
Hata google huwa inachemka kutoa jibu sahihi....

Yaani kama ndo vigezo vyako hivyo Miss Chagga

Naanza kupiga msuli tembo ili niwefit.
Ila tu usiulize maswali kama polisi...

maswali muhimu ili kujua how competent you are? usikute unacremu tu
 
Namaliizia

Ww unavyovipenda kujadili ni tofauti na mwanamke mwingine...
Mngekuwa kama formula au pai..

Ingekuwa rahisi kwa ss wanaume kuapply ,
Unachukua data unachomeka kwnye formula .....walaaaaaaa
Jibu hilooo.

sawa mkuu ila muwe creative
 
.... Hii ni kwa sababu kutongoza sio kazi rahisi,inabidi uwe na kaupeo kidogo ili usimchoshe mtongozwa,lakini pia inategemea na aina ya mazungumzo gani mko nayo kwa wakati huo na upeo wa huyo mwanaume.

sawa kabisa upeo wa mwanaume na si kunilamba mikono
 
Back
Top Bottom