Ushauri kwa wanaume

Ushauri kwa wanaume

Nawasalimu wote, mambo zenu, shikamoo wakubwa ila siwanyimi chochote unaruhusiwa kuomba

Nirudi kwenye mada jamani kaka zangu na rafiki zangu wa kiume kwenye swala la kumtongoza mwanamke mnaboa jamani kila ukija unaongela mambo ya mapenzi tu oooh i love you, oooh sijui unaumbo nzuri hivi jamani haya maneno yanachosha kila siku kuongelea hayo hayo.

Okey basi mwanamke najaribu kubadilisha mada hata tuongelee utamaduni wetu huna hoja unajiumauama kiuchumi ndo kabisa nakupoteza hivi niwaulize huwa mnafikiria nini kwenye akili zenu?

All over the way unafikiria kuniambia i love you mimi huwa unanichosha jamani lets talk about other issues nichekeshe, tuongeleee uchumi, okey basi be funny mtu anaishia kukwambia i love na kubusu busu mikono hivi ni nini lakini BE CREATIVE GUYS LOH TOOO MUCH

Unakuta mwanaumme unamuuliza what is your plan for future anaongelea vitu vya ajabu a wengine amna majibu yani mimi nachefuka moyo nikiona mwanume ajielewi natamani kutapika.

Basi wanaume jiongeze basi ongea love yes, hapo hapo ongelea uchumi, siasa na hata utamaduni ili nijue una upeo gani wa kufikiri loh, mpira usiongelee wala movie.

Ihope mtajiongeza kwa kweli, nawapenda wote.
Naona mi na wewe kitu kimoja wacha nijiandae kukuvukisha boda nikulete Mombasani, Ila ntajitahidi sana nisitamke neno I luv u saa zote. Mambo na uchumi, future hata utamaduni ndiyo zitakuwa topics.
 
Naona mi na wewe kitu kimoja wacha nijiandae kukuvukisha boda nikulete Mombasani, Ila ntajitahidi sana nisitamke neno I luv u saa zote. Mambo na uchumi, future hata utamaduni ndiyo zitakuwa topics.

karibu mkuuu wala usijal mimi nupo mada hizo ndo muhimu neno i love linakuwa kama kionjo tu
 
Back
Top Bottom