miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
- Thread starter
- #201
ukipaka hiyo wanakuja wenyewe?
Miss chaga umesema kweli,nothing entices me than an intelligent man...yani raha sana kuongea nae ,anajua mengi...
Kama sio I love you tutumie neno gani?Kama unatongozwa hilo neno lzm litumike!
Kama mnaongelea uchumi;bongo movies au maandalizi ya Taifa Stars na Zimbabwe hapo mnaenda nje kabisa ya love affairs
Kuna wengine hawana karma ya kuongea, so itakuwa vyema ukimuanza wewe!!!
ukipaka hiyo wanakuja wenyewe?
Yes madam!!!!!!!!!
Siitumii kwani nataka natural zaidi!!!!!!!ngoja nisubirie na mimi nivutwe loh.... kwa hiyo mpaka sa hivi umevuta wangapi?
mwingine ukianza anaishia kutabasamu tu
Siitumii kwani nataka natural zaidi!!!!!!!
Akitabasamu ongeza mpaka acheke, akicheka ongeza mpaka aongee!
Nawasalimu wote, mambo zenu, shikamoo wakubwa ila siwanyimi chochote unaruhusiwa kuomba
Nirudi kwenye mada jamani kaka zangu na rafiki zangu wa kiume kwenye swala la kumtongoza mwanamke mnaboa jamani kila ukija unaongela mambo ya mapenzi tu oooh i love you, oooh sijui unaumbo nzuri hivi jamani haya maneno yanachosha kila siku kuongelea hayo hayo.
Okey basi mwanamke najaribu kubadilisha mada hata tuongelee utamaduni wetu huna hoja unajiumauama kiuchumi ndo kabisa nakupoteza hivi niwaulize huwa mnafikiria nini kwenye akili zenu?
All over the way unafikiria kuniambia i love you mimi huwa unanichosha jamani lets talk about other issues nichekeshe, tuongeleee uchumi, okey basi be funny mtu anaishia kukwambia i love na kubusu busu mikono hivi ni nini lakini BE CREATIVE GUYS LOH TOOO MUCH
Unakuta mwanaumme unamuuliza what is your plan for future anaongelea vitu vya ajabu a wengine amna majibu yani mimi nachefuka moyo nikiona mwanume ajielewi natamani kutapika.
Basi wanaume jiongeze basi ongea love yes, hapo hapo ongelea uchumi, siasa na hata utamaduni ili nijue una upeo gani wa kufikiri loh, mpira usiongelee wala movie.
Ihope mtajiongeza kwa kweli, nawapenda wote.
Miss chaga umesema kweli,nothing entices me than an intelligent man...yani raha sana kuongea nae ,anajua mengi...
natumia nguvu nyingi kumongea na kitu kisichoongea wai
Nipo nje na karandinga na maji ya kuwasha
Ngumi zikianza tu nakuja kukusaidia
Hahahaha wewe mchokozi
I beleive they are there but my worries are on time,resources, how we value each other, what we want out of that relationship and mind set!hivyo vipengele nimeweka tu kuonyesha kuna mengi ya kuongelea instead ya kuganda kwenye swala la mapenzi zaidi
A smart man is who knows what you want to hear, who knows you are weakness!mwanaume akiwa smart raha jamani loh
Lets be serious here, mtu umemuona na ukampenda, huwezi mwambia hisia zako? Na hizo hisia atakuelewa kama ni za kimapenzi ikiwa utaanza kuleta story za mporomoko wa uchumi duniani ataelewaje kuwa umemzimikia.
Nachokubaliana na wewe ni kuwa mtu akishakubali kuwa mpenzi wako mnatkiwa mpanue wigo wa mazungumzo, familia yenu baadaye, sometime entertainment, na kuna muda utamwambia the way alivyomzuri na how lucky you are to have her.
vita ni vita mura..
A smart man is who knows what you want to hear, who knows you are weakness!
BTW kila shetani na mbuyu wake!