miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
- Thread starter
- #221
May be you are not interested in him. Hivi, hujawahi sikia mtu anapenda ukimya wake?
yesu na maria nitakuwa chizi ndani kwa sababu nitaongea mwenyewe loh ,... kuongea ndo kunasaidia kujua mawazo ya mtu,,, mtu anayekaa kimya ni mbaya sana