miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
- Thread starter
- #41
Be sure that we will be discussing grown up things as u wnt
okey okey wait a moment
Be sure that we will be discussing grown up things as u wnt
hahahaaaa.. ninyi ndo mnapenda kusikia mnapendwa na maneno mazuri!! ndo mana tunawapeni ya kutosha
its just a by the way...life is great.. so lovely..
It goes both ways....
Tukio si kutongozwa tu bali kutongozana usiulaze mzigo wote kwa wanaume jiulize uwa unaanzisha mawasiliano na wanaume katika mazingira gani?
..kumbe na wewe mgomvi!
Men are so clever, he looks directly unto your eyes, if he sees "chenga" don't expect him to talk sense!!..he will screw you and head on to search for a LADY!!
Nawasalimu wote, mambo zenu, shikamoo wakubwa ila siwanyimi chochote unaruhusiwa kuomba
Nirudi kwenye mada jamani kaka zangu na rafiki zangu wa kiume kwenye swala la kumtongoza mwanamke mnaboa jamani kila ukija unaongela mambo ya mapenzi tu oooh i love you, oooh sijui unaumbo nzuri hivi jamani haya maneno yanachosha kila siku kuongelea hayo hayo.
Okey basi mwanamke najaribu kubadilisha mada hata tuongelee utamaduni wetu huna hoja unajiumauama kiuchumi ndo kabisa nakupoteza hivi niwaulize huwa mnafikiria nini kwenye akili zenu?
All over the way unafikiria kuniambia i love you mimi huwa unanichosha jamani lets talk about other issues nichekeshe, tuongeleee uchumi, okey basi be funny mtu anaishia kukwambia i love na kubusu busu mikono hivi ni nini lakini BE CREATIVE GUYS LOH TOOO MUCH
Unakuta mwanaumme unamuuliza what is your plan for future anaongelea vitu vya ajabu a wengine amna majibu yani mimi nachefuka moyo nikiona mwanume ajielewi natamani kutapika.
Basi wanaume jiongeze basi ongea love yes, hapo hapo ongelea uchumi, siasa na hata utamaduni ili nijue una upeo gani wa kufikiri loh, mpira usiongelee wala movie.
Ihope mtajiongeza kwa kweli, nawapenda wote.
ukitaka siaasa nenda bungeni wewe acha ushamba, malovee na uchumi wapi na wapi.
We are made different....
Kuna variety ya wanaume inategemea una attract wa namna gani labda tatizo ni wewe.....
miss chagga, hujambo ? ile biashara ya kule vipi?
i concur tatizo sio wanaume bali yeye...labda yeye personality yake imekaa kimgegedo gegedo
Hahahaa .. tena hao hao ukianza kuongelea siasa ,wanaanza vijembe.
ooh huyu jamaa kaniona mm Mbunge nini ? .
ukitaka siaasa nenda bungeni wewe acha ushamba, malovee na uchumi wapi na wapi.