Ushauri kwa wanaume

Ushauri kwa wanaume

ooooh helll no so umekuja kunizuga au? basi usinitongoze yani huwa natamani kubeba meza kichwani ili kupunguza hasira... unakuta mtu wiki nzima ya kukufukuzia akija i love ooh umependeza..... hivi si unatongozwa sana? sasa mimi nikishaona hivyo nakupotezea..
You guys love complements....and we just do that to make you happy..
Lakini vijana wengi wanaangalia, kama "demu" hafai anatafuta mbinu za kumlala Ili amalize mchezo aende mbele, wadada wengine huwezi kudate nao hata nusu saa...
 
naunga mkono hoja. inatakiwa muongee vitu tofauti na kubadilishana mawazo ili mzoeane kwanza. haiwezekani mkutane siku ya kwanza na kuanza kupeana story za I love you
 
You guys love complements....and we just do that to make you happy..
Lakini vijana wengi wanaangalia, kama "demu" hafai anatafuta mbinu za kumlala Ili amalize mchezo aende mbele, wadada wengine huwezi kudate nao hata nusu saa...

why u waste your time na hiyo ni moja ya dalili ya kuwa amna mawazo productive to its a sheeeeet
 
Ngoja na mimi naanzisha ya kwangu..... nitainame Umevaaaje..... ts coming soon

Hop tomorow itakua zamu yenu...maana naona leo mmetunyanyasa sana aisee looh.....
 
Kuhusu content....wat u discuss wth na hasa kama ivo inategemea na malengo ya mwanaume...

if i only interested in making love y should i focus on teln u my plans!...na kinyume chake
 
Ofisini nitumie akili nyingi bado nikikutana na mpenzi nitumie tena akili nyingi na kuwa ongelea kina nape na kina zito. Acha bwana. kwenye suala la ucheshi nitakuunga mkono lakini mambo ya siasa na uchumi nikiwa na mpenzi wangu hapa kabisa.

n nimeweka uchumi , utamaduni na ucheshi haina maana lazima kuongelea vitu vya kuumiza akili lakini u should be vreative in mind not the same words..... yani unakuta mtu unajua lazima aanze na neno hili na amalizie na hili ni ujing huu
 
Kuhusu content....wat u discuss wth na hasa kama ivo inategemea na malengo ya mwanaume...

if i only interested in making love y should i focus on teln u my plans!...na kinyume chake

sasa kama ni hivyo its better not to waste time....
 
Nawasalimu wote, mambo zenu, shikamoo wakubwa ila siwanyimi chochote unaruhusiwa kuomba

Nirudi kwenye mada jamani kaka zangu na rafiki zangu wa kiume kwenye swala la kumtongoza mwanamke mnaboa jamani kila ukija unaongela mambo ya mapenzi tu oooh i love you, oooh sijui unaumbo nzuri hivi jamani haya maneno yanachosha kila siku kuongelea hayo hayo.

Okey basi mwanamke najaribu kubadilisha mada hata tuongelee utamaduni wetu huna hoja unajiumauama kiuchumi ndo kabisa nakupoteza hivi niwaulize huwa mnafikiria nini kwenye akili zenu?

All over the way unafikiria kuniambia i love you mimi huwa unanichosha jamani lets talk about other issues nichekeshe, tuongeleee uchumi, okey basi be funny mtu anaishia kukwambia i love na kubusu busu mikono hivi ni nini lakini BE CREATIVE GUYS LOH TOOO MUCH

Unakuta mwanaumme unamuuliza what is your plan for future anaongelea vitu vya ajabu a wengine amna majibu yani mimi nachefuka moyo nikiona mwanume ajielewi natamani kutapika.

Basi wanaume jiongeze basi ongea love yes, hapo hapo ongelea uchumi, siasa na hata utamaduni ili nijue una upeo gani wa kufikiri loh, mpira usiongelee wala movie.

Ihope mtajiongeza kwa kweli, nawapenda wote.

misschaga Ngoja na mi nijipange kuomba si naruhusiwa! Jiandae kuzungumzia mabom ya mbagala, Mv bukoba na Vita ya adof hitra!
 
Last edited by a moderator:
amnini unavyo amni lakini u men u need to change
worry not MC..personally am very flexible.....
angalizo:tricky men wataanza maongezi na topic yoyote but eventually will unknowingly drag you into ''hotest topic of all time''
 
Tatizo mnapenda wazee. sasa mtu kama machache unategea atakua funny, au mtu kama wasira. yeye akiongea na wewe ni papuchi tu hamna kingine

amna cha wazee ninyi vijana ndo wabovu kabisa hata amjui maana ya funny
 
hahahaaaa.. ninyi ndo mnapenda kusikia mnapendwa na maneno mazuri!! ndo mana tunawapeni ya kutosha
 
Back
Top Bottom