Amanijua
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 1,776
- 1,632
shikamoo wakubwa ila siwanyimi chochote unaruhusiwa kuomba...
Hapo ndipo nilipopenda I wish nikuombe na mimi
Umuombe Papuchi au mtaji wa duka??????
shikamoo wakubwa ila siwanyimi chochote unaruhusiwa kuomba...
Hapo ndipo nilipopenda I wish nikuombe na mimi
Umuombe Papuchi au mtaji wa duka??????
Hapo ndo nnapokupendea miss,thanks sana! No need of I love you nyiiing,tumetamaniana tunagegedana tukipendana tunagandana,kithunguzaid
Waiting for u to come ... why u dont tell me? Why?[/QUOTE
How could i know that you want it? If you want something then you gotta ask for it
What? U should know what i need
Bila shaka #wamekuvuruga uko PM pole sana. Naomba nitumie fursa hii kudai dada zangu.
#BRINGBACKOURGIRLS .
What? U should know what i need
Unfortunately, i suck in guessing.
miss chagga, mi nakuomba wewe tafadhali kwani weekend inakuja na najihisi niko mpweke.
Unfortunately, i suck in guessing.
mmmmh okey ... so ?
i concur tatizo sio wanaume bali yeye...labda yeye personality yake imekaa kimgegedo gegedo
I won't!
Mpeleke pole pole atakuelewa tu. Kuna wengine ni slow motion sana but so sure!
Oh, thank you. God bless you.
True 100%.
"Nifahamishe Marafiki zako nikuambie wewe ni nani"~Wanasaikolojia wana msemo huo.
ni kweli kabisa mamen wamekosa ubunifu kwenye hili swala....binafsi nikiwa na demu wangu sio everytime naongelea i love u,kwa kuwa mi ni rasterman na nifundi wa kucharaza gitaa unaweza kuta smtm napiga gita anaimba au naimba na mfundisha kupiga gita,na mpa teaching za kiraster na history,anajua spendi politics wala mpiraNawasalimu wote, mambo zenu, shikamoo wakubwa ila siwanyimi chochote unaruhusiwa kuomba
Nirudi kwenye mada jamani kaka zangu na rafiki zangu wa kiume kwenye swala la kumtongoza mwanamke mnaboa jamani kila ukija unaongela mambo ya mapenzi tu oooh i love you, oooh sijui unaumbo nzuri hivi jamani haya maneno yanachosha kila siku kuongelea hayo hayo.
Okey basi mwanamke najaribu kubadilisha mada hata tuongelee utamaduni wetu huna hoja unajiumauama kiuchumi ndo kabisa nakupoteza hivi niwaulize huwa mnafikiria nini kwenye akili zenu?
All over the way unafikiria kuniambia i love you mimi huwa unanichosha jamani lets talk about other issues nichekeshe, tuongeleee uchumi, okey basi be funny mtu anaishia kukwambia i love na kubusu busu mikono hivi ni nini lakini BE CREATIVE GUYS LOH TOOO MUCH
Unakuta mwanaumme unamuuliza what is your plan for future anaongelea vitu vya ajabu a wengine amna majibu yani mimi nachefuka moyo nikiona mwanume ajielewi natamani kutapika.
Basi wanaume jiongeze basi ongea love yes, hapo hapo ongelea uchumi, siasa na hata utamaduni ili nijue una upeo gani wa kufikiri loh, mpira usiongelee wala movie.
Ihope mtajiongeza kwa kweli, nawapenda wote.
hapo safi mapenzi yatakuwa matamu hapo loh... siyo i love kama wimbo wa taifani kweli kabisa mamen wamekosa ubunifu kwenye hili swala....binafsi nikiwa na demu wangu sio everytime naongelea i love u,kwa kuwa mi ni rasterman na nifundi wa kucharaza gitaa unaweza kuta smtm napiga gita anaimba au naimba na mfundisha kupiga gita,na mpa teaching za kiraster na history,anajua spendi politics wala mpira