Ushauri kwa Wanaotetea Machinga: Poleni sana, Mlishindwa kufanya kipindi chenu kwa kukosa maarifa! Tulieni wenye maarifa wawaoneshe inavyofanyika

Magufuli alikosea kuwaacha wanaoitwa machinga wafanye shughuli zao kiholela bila utaratibu ilikuwa ni ubaguzi kwa watu wengine pia.
Sawa lakini nakumbuka alisisitiza watengenezewe maeneo ya kufanyia biashara ndipo waondolewe mabarabarani.kutenga maeneo sio kuwapeleka kwenye viwanja vya wazi bali serikali iwajibike kujenga vibanda na vizimba...ili waingie sekta rasmi.
 
Wamachinga hawaja zuiliwa kufanya kazi zao, bado wako mtaani na tuna waona Kila siku, au ngoja nikueleweshe, machinga ni yule anaye tembeza bidhaa zake mtaani ( matching guys) . Hawa wanao pangiwa maeneo ni wafanya biashara wasio zingatia taratibu za kibiashara ,( maeneo maalum)
Kwa kifupi wengi ni wahuni wanaotaka mtelezo bila kulipa kodi
 
Sawa lakini nakumbuka alisisitiza watengenezewe maeneo ya kufanyia biashara ndipo waondolewe mabarabarani.kutenga maeneo sio kuwapeleka kwenye viwanja vya wazi bali serikali iwajibike kujenga vibanda na vizimba...ili waingie sekta rasmi.
Mbona hakutengeneza hayo maeneo?
 
IMG_1865.png

post nyingi za wanaosifu machinga kufukuzwa zinatoka ktk hizi nyumba.

adui wa masikini ni masikini mwenzake.
 
Huyo unayemwita mama alikuwa wapi wakati hao machinga wanaruhusiwa kufanya biashara popote? Unaonekana ni bambino wa siasa.

2025 mruhusu uchaguzi huru muone matokeo yake. Propagandists.
Alikuwa kwa Mtu aliyewahi kusema hashauriki na ukijaribu kumshauri ndio umeharibu kabisa hafanyi. Huyu ndiye alikuwa mwalifu mkubwa. Kwanza machinga alianza kama muhuza urembo kwa sasa amekuwa mjenzi kwa sehemu katazwi. Huyu sasa mkwepa kodi
 
Mimi sikuzote nasema jiwe alikua kichaa hamsikii, huwezi kujenga miundombinu ya mabilioni ya pesa halafu ukaruhusu watu waweke mabanzi na kujenga vijibanda juu yake lazima kila kitu kifanyike kwa utaratibu.
 
Wamachinga hawaja zuiliwa kufanya kazi zao, bado wako mtaani na tuna waona Kila siku, au ngoja nikueleweshe, machinga ni yule anaye tembeza bidhaa zake mtaani ( matching guys) . Hawa wanao pangiwa maeneo ni wafanya biashara wasio zingatia taratibu za kibiashara ,( maeneo maalum)

Hao walioanza kuuacha umachinga ndo wamepolwa mali zao.. watarudi kuwa machinga daima.

Acha mawazo ya kusifia wanao kula kodi za watu wanao wafukuza fukuza.
 
Huwezi amini mleta mada alijiapisha kwamba Lisu asipotangazwa mshindi ile oktoba 2020 ataenda kulipua ofisi zote za ccm,
 
Mtoa hoja unaweza kuwa na point ila mlikuwa wapi kama Chama kuyaona haya mwanzoni kabisa? maana nchi hii ni nyie tu ndiyo mnatawala na mipango miji yote toka Vitongoji, Manispaa, Majiji mmekuwa mkipanga nyie.

Sasa ndugu, hii sisi tunaliona kama ni vita ndani ya Chama chenu, kwa hiyo sisi ndugu yangu hatuwezi kukusaidia zaidi ya kusema kwamba nchi hii hatuna sera endelevu, kila anayeshika madaraka anakuja na mambo yake.. Taifa haliendi namna hiyo.
 
Sawa lakini nakumbuka alisisitiza watengenezewe maeneo ya kufanyia biashara ndipo waondolewe mabarabarani.kutenga maeneo sio kuwapeleka kwenye viwanja vya wazi bali serikali iwajibike kujenga vibanda na vizimba...ili waingie sekta rasmi.
Yeye si ndiye alikuwa Rais alishindwa nini? Mbona kuna vitu kibao mnamsifia hata yale aliyoyakuta bado sifa mlimpa yeye sasa hilo la kutenga maeneo na kujenga hivyo vizimba lilishindikana vipi?
 
Haya maarifa yenu yatawatokea puani mdanganyeni tu Hangaya.
Mnafikiri ni hao tu machinga,?wana ndugu zao wanufaika wa hizo biashara,ni jeshi kubwa Hilo.
 
Haya maarifa yenu yatawatokea puani mdanganyeni tu Hangaya.
Mnafikiri ni hao tu machinga,?wana ndugu zao wanufaika wa hizo biashara,ni jeshi kubwa Hilo.
Kwa upeo wako finyu na akili yako iliyojaa uchafu unaona Kuna tatizo lolote Kwa kuwapanga wamachinga?
 
Yeye si ndiye alikuwa Rais alishindwa nini? Mbona kuna vitu kibao mnamsifia hata yale aliyoyakuta bado sifa mlimpa yeye sasa hilo la kutenga maeneo na kujenga hivyo vizimba likllishindikana vipi?
Akikujibu nitagg
 
Lazima tuwe na utaratibu, kuna watu wanatamani kila jambo liwe siasa.

Machinga wawe na maeneo maalum tutawafuata huko, miji iwe na ramani ilifika muda hata kutembea service road ni mtihani
 
  • Thanks
Reactions: Tui

Similar Discussions

Back
Top Bottom