Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

Dah, nawapongeza wote wanaoenda chuo cha kata. Wingi wa majengo, zero education.
 
Chuo cha kata gani kaka? Mbona mimi kata yangu ya Ruanda huku Mbeya hatuna chuo? Vipi Saut, IFM, UDSM (Wanalala 8 kwenye kachumba kadogo, vyoo hovyo ref hall 5, hall 2. Class wanakaa hadi madirishani ref wale wa Education) Tumaini, Vipi huko kuna elimu gani?
 
Announcement to All First Year and Continuing Students
IMPORTANT NOTICE TO BOTH FIRST YEAR AND CONTINUING STUDENTS
2012/2013 ACCADEMIC YEAR
All students are required to note that:
1. All students are MUST register with the NATIONAL HEALTH INSURANCE FUND (NHIF)
2. University of Dodoma Students Organisation (UDOSO) fee is 5,000/= per student per year.
3. UDOSO fee MUST be paid by ALL STUDENTS in CRDB Bank:
Account number: - 01J2083321200
Account name: - UDOSO FEDERATION
Please DO NOT pay UDOSO fee in any other Account (Only UDOSO fee is payable in this account).
4. In order to avoid unnecessary queue (long lines in the bank) you are all urged to pay all the required fees before coming to Dodoma.
5. You will be required to show proof of payments (Bank pay-in-slip) during registration.
6. Make sure you write your names on the Bank pay-in-slip.

tnx makole 4 ur coorporation God wil pay u 4 dis.
 
kaka MAKOLE baada ya HESLB kutujudge sasa kila mtu kajua kamapa kiasigani, nadhani itakakua gni vizuri zaidi kama ukija na kutupa mwanga nijinsi gani tutaweza kabiliana na hali ya maisha ya hapo UDOM pia kuna mabo naomba nikuulize.
1) loan amount tulizo pewa ziko katika kiwango cha pesa sasa tunawezaje ku calculate na kujua % ya ada(tuition fee)
2)pesa ya stationary inakazi gani hasaavje nikununulia ma counter books,pen na pencil?? au kuna vingine
3)special faculty requirements ziko katika programs gani au nizote??
4)Ule utaratibu wa NHIF umefikia wapi mpaja sasa na je mtu asipo jiunga na huo mfuko itakuaje?
5)Direct cost tumeelezwa kua tulipe kabla ya September 30 itakuaje kwa kwa watakao chelewa kulipa?? vile vile itakuaje kwa watakao chelewa kulipa ada(tuition fee)??

ni hayo tu kaka MAKOLE tunakusubiri
 
Last edited by a moderator:

Samahani kwa kuchelewa,

hiyo pesa bodi waliokupa, gawanya kwa idadi ya miaka yako, utapata pesa ambayo bodi watakulipia kama ada. Chukua ada yako kwa mwaka, tafuta tofauti kati ya ile ya bodi kwa mwaka, toa hiyo ya chuo kwa mwaka, utapata pesa unayotakiwa kulipa.

Program za sayansi ndizo zinazopewa special fucult, sio program zote. Hiyo tarehe hata ikipita, lipa pesa pale unapokuwa na uwezo wa kulipa. Kuhusu bima ya afya, wameweka utaratibu wa kujiunga na mfuko, tembelea website ya shirika la bima ya afya utaona matangazo yao.

Kuhusu matumizi ya pesa tumeshatoa ushauri kwenye hii post ingawa mtu mzima hafundishwi matumizi ya pesa. SHULE NJEMA
 
Duuu!! hapo kwenye ada kaka watu tulikua tunajipa moyo kua tumepata 100% kumbe hola masikini mtoto wa mkulima mie.
Anyway nashukuru kwa maelezo
 
Dah, nawapongeza wote wanaoenda chuo cha kata. Wingi wa majengo, zero education.

hongera wewe na hapo uliposoma. Hata hivyo kuikana UDOM ni kuukana Utanzania wako pia, Hya kisifie chuo ulichosoma wewe basi, maana hicho ni bora zaidi ya UDOM.
 
Samahani kwa kuchelewa,

hiyo pesa bodi waliokupa, gawanya kwa idadi ya miaka yako, utapata pesa ambayo bodi watakulipia kama ada. Chukua ada yako kwa mwaka, tafuta tofauti kati ya ile ya bodi kwa mwaka, toa hiyo ya chuo kwa mwaka, utapata pesa unayotakiwa kulipa.

Program za sayansi ndizo zinazopewa special fucult, sio program zote. Hiyo tarehe hata ikipita, lipa pesa pale unapokuwa na uwezo wa kulipa. Kuhusu bima ya afya, wameweka utaratibu wa kujiunga na mfuko, tembelea website ya shirika la bima ya afya utaona matangazo yao.

Kuhusu matumizi ya pesa tumeshatoa ushauri kwenye hii post ingawa mtu mzima hafundishwi matumizi ya pesa. SHULE NJEMA

samahan mkuu mm sina uwelewa sana ktk hayo mambo lkn nilivyoona waliochaguliwa medicine vyuo vya sirikali wamepata 4.3mil naukweli ni kua wanapata 100% na ada yao ni 1.8mil na wanakaa chuo miaka mitano sasa mbona hesabu inagoma 4.3mil/5=1.8?????;> kidogo naomba kuelimishwa
 
mh, kiukweli ukisema asilimia kwa mfumo huu ni tatizo. Hicho kiasi unachosema kama ndo wamekupa ukiita ni asilimia mia haikuji kabisa. Iko hivi: Kwa uelewa wamgu mdogo, kama chuo kinahitaji ulipe kwa mwaka sh. 3, kwa miaka mnne utalipa sh 12. kama bodi wanakupa sh 8 kwa miaka hiyo 4, hesabu iko hivi:

Chukua sh 8 gawanya kwa 4=2,
BODI wanakulipia sh 2 kwa mwaka.

chuo wanahitaji sh 3, sasa chukua sh 3 toa sh 2 unayolipiwa na bodi.

Itabaki sh 1 ambayo hii utailipa wewe, kwa maana ya sh 1.5 kila semista. so hii ya asilimia sina jibu nalo ila hivyo ndivyo nifahamuvyo mimi.
 
Ndugu makole.!Me ningependa kujua mchanganuo mwingine pia kama >meals and accomodation >stationary n books allowance toka kwenye pesa walizotupatia coz umetufahamisha namna ya kujua kias cha ada tunacholipiwa na bodi!ni namna gan 2calculate pesa wanazotulipia kwa hayo hapo juu ukiacha ada?
 
Mie nawakumbusha kutunza vyeti vyenu vizuri...maana wanafunzi wengi hupoteza vyeti kipindi cha usajiri.jitahidini kwa hili maana wahanga wa hili ni wengi
 
Makaole acha kudanganya wa2 kuhusu ada!!!wadau mpango mzma uko hv 1.chukua kiasi chote ulichopewa na heslb toa kwa 1837500 (meals only coz accomodation 2talpa direct).!2.chukua kiasi kilichobak thn toa kwa 200000(stationary and book allowance)!!3.kwa wale ambao hamna field hapa ndo mwisho na iliyobaki ndo ada yako!!4.ukiona umetoa ada then bado kuna salio lmebak hyo n kwamba facult yako n special na hyo pesa n sfr(special facult requirements!!5.kama pgm yako inafield 600000 kwnye pesa iliyobak hatua ya 2!!thn pesa iliyobak ndo ada yako!!hz data n kutoka kwa mdau wangu yupo loan board
 
Mkuu mimi nikitoa izo pesa zote ulizoorodhesha pamoja na fees yangu nabakiwa na 254750 na nimechaguliwa engineering sasa izo zinazobaki ni za nin
 
tafit kama pgm yako ina field kwa 1st yr!!kama haina bac ilo salio ltakuwa n sfr:)(special facult requirements)na utakuwa umelamba 100%
 
Back
Top Bottom