Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

Nataka kujua kama kuna bar jirani na kama kuna mademu wanaouza utamu

Hakuna bar jirani, na kuhusu mademu wanaouza utamu pia hakuna kama utakuwa unakusudia wanaouza mili yao, ila km utamu wa vitu kama chapati, vitumbua , maandazi nk hao wapo wanakuja mpk room
 
Cwez kukuuliza swali linalohusu college ya education with special neeed-UDOM?Maana nimechaguliwa hapo
unaweza lkn haiitwi college ya education with special need but inaitwa College of education na hiyo degree program ndio inaitwa bachelor of education with special need (bed sped ) km sijakosea
 
hahaha kwanza huwez kuulizwa swal manake najua hakuna mtu alie faulu vizur na mwenye akili timamu atakubali kusoma udom hapo watu wanakuja manake hawana pengine pa kwenda so kila aliepata udom ana mauchungu yake
 
Hatufanyi malumbano ya vyuo hapa jaribu kuwa mstaarabu ndugu
 
V2 gani hasa students wanatakiwa kuwa makini navyo wawapo hapo chuoni?
 
chuo cha kata kwa7bu waliokuja hapo n wnye cut off point 2.5 kwann ucsome udsm na mataw yake coz n cha kwanza tz na cha 4 afr

we na ww ni yaleyale matope,,we unadhani kusoma udsm ndo nn labda,,we unadhani wote wanaoenda soma udsm cut off pt zao kubwa na wote wanaosoma udom cut off pt zao ndogo,,kpapa ww,,co unasema 2 v2 ucivokua na proof
 
V2 gani hasa students wanatakiwa kuwa makini navyo wawapo hapo chuoni?

Uwapo Chuoni kuwa makini na malizako especially laptop na mali za thamani, pia ufikapo stand usi kurupuke kuchukua pikipiki wala Tax utapigwa pesa ndefu(Unless uwe vizuri mfukoni) Mkifika stand serikali ya wanafunzi UDOM hua wanaandaa utaratibu mzuri wa kupokea First year kuanzia bus stand, hua wana vaa vitambulisho maalumu utawajua tu pindi ufikapo Dodoma,

Karibu sana.
 
V2 gani hasa students wanatakiwa kuwa makini navyo wawapo hapo chuoni?

lamuhimu nikuzingatia sana masomo ili upate mafanikio lengo lako lisiwe ni kupata GPA ila liwe nikupata GPA nzuri,kuwa na nidhamu kwa walimu kwani wao ndio kila kitu.pia jihadhari na marafiki wabaya napia hudhuria discussion, kumbuka 16 ya 40 na 24 ya 60 ni ndogo kuitamka lakini kuipata kunahitaji juhudi ya ziada
 
Uwapo Chuoni kuwa makini na malizako especially laptop na mali za thamani, pia ufikapo stand usi kurupuke kuchukua pikipiki wala Tax utapigwa pesa ndefu(Unless uwe vizuri mfukoni) Mkifika stand serikali ya wanafunzi UDOM hua wanaandaa utaratibu mzuri wa kupokea First year kuanzia bus stand, hua wana vaa vitambulisho maalumu utawajua tu pindi ufikapo Dodoma,

Karibu sana.

Mambo ya u----a nackia yapo nikweli?
 
chuo cha kata kwa7bu waliokuja hapo n wnye cut off point 2.5 kwann ucsome udsm na mataw yake coz n cha kwanza tz na cha 4 afr

acha pumba we demu! Nilikua nakuona wa maana kumbe kichaa tu watu wana cutt_off point mpaka saba wawetupwa udom wewe na cutt off point 5 za mawazo hizo unajisifu kuchaguliwa mkwawa na ungechaguliwa UDSM m.campus je? Jipange
 
acha pumba we demu! Nilikua nakuona wa maana kumbe kichaa tu watu wana cutt_off point mpaka saba wawetupwa udom wewe na cutt off point 5 za mawazo hizo unajisifu kuchaguliwa mkwawa na ungechaguliwa udsm m.campus je? Jipange

usimlaum yeye mkuu tatizo ni ugonjwa wa degedege uliopo kichwan mwake ambao unamfanya kukurupukakurupuka ovyo
 
acha pumba we demu! Nilikua nakuona wa maana kumbe kichaa tu watu wana cutt_off point mpaka saba wawetupwa udom wewe na cutt off point 5 za mawazo hizo unajisifu kuchaguliwa mkwawa na ungechaguliwa UDSM m.campus je? Jipange

Hajatulia huyo... Maana hata alipopangiwa eti hapapendi wakati alipopangiwa ndo kiwango chake halafu anakaa kuiponda udom... Huyu hana tofauti na mpigamsuli na zile zao za sizitaki mbichi hizi...
 
college yenu ya ss inamaprofesa wangapi? Maana nasikia wanawafundishaga degree holder wenzenu tu.
 
Back
Top Bottom