Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

Mie nawakumbusha kutunza vyeti vyenu vizuri...maana wanafunzi wengi hupoteza vyeti kipindi cha usajiri.jitahidini kwa hili maana wahanga wa hili ni wengi

samahani boy naomba kujua utaratibu ambao unatumika katika usajili, mpaka unasema kuwa tuwe tunatunza vyeti vyetu vizur,hivi ni mmoja baada ya mwingine au????msaada kaka
 
Umesahaua kidogo nauli ni 300 na si shs 350 kwenye kipengele cha 5.
 
pia itakua vizuri kama watakata tiketi za mabasi cku moja au hata mbili kabla ya safari coz kipindi icho usafiri unakua tabu kweli kweli, ukifanya mas-hara utatozwa mpaka elfu 30 badala ya 15, na si hasha ukakosa usafiri kabisa kwa cku hiyo,

pia kama huna hata ndugu au mwenyeji dodoma jitahidi kuchukua basi la asubuhi sana ili ufike mapema uweze kutafuta gesti coz hata gesti cku hizo zinakua adimu coz zinakua zimefurika wanafunzi ukizingatia na CBE nao wanafungua cku hiyo hiyo
 
Whats up JF members?glad to inform u all that the registration venue for the UDOM 1st yr students has been shifted from JAMHURI STADIUM to the RESPECTIVE COLLEGES,
For more info pls visit UDOM WEBSITE
 
Guys mbona hawa watu wanatuconfus kias iki! They ar not serious wth what they ar doing, iyo ndo imebeconfirmed mkuu?
 
Guys mbona hawa watu wanatuconfus kias iki! They ar not serious wth what they ar doing, iyo ndo imebeconfirmed mkuu?

confirmed mkuu,coz hata lile tangazo la zaman la usajili jamhuri wameliondoa ili kuondoa confusion instead wamepost hili la leo
 
Jamani wanaChuo wote wa Mji wa Dodoma Stand imehamishwa Nzuguni NaneNane kilometa 12 kabla hujaingia mjini km una mabegi jiandae na 20,000/ Taxi mpaka UDOM au.Chuo cha Mipango
Km ukitokea njia ya Singida shukia mjini ni nafuu zaidi usiende stand. Mpya njia ya Dsm
 
Hapo wanapaita St social, (samahani kama ntawakwaza watu), hapo kuna mapinduzi ya mavazi, ndipo palikuwa panavaliwa vivazi. Ila kwa sasa nadhani ndio college inayoongoza kwa nidhamu ya mavazi. wanawashinda walimu kwa haiba hapo. Hostel za kumwaga sana, maisha ya hapo ndo ivyo tena, mtu pesaaaaa na watoto wa kishua. ingawa wapo watoto wa wakulima lakini nao wanabadilika wakifika hapo.

Ukiingia eneo hilo heshimu "pavement" usikate njia ukakanyaga nyasi kufuata njia zisizo rasmi, utakinukisha mapema, wako vijana wa SMA-JKT (SINA HAKIKA KAMA BADO WANALINDA ENEO HILO), unaweza kujikuta uapanda na kumwagilia hayo majani, Usimwage maji dirishani, usianike kitu chochote dirishani, utaingia matatani. Hapo ni sosho ndugu!

MAKOLE na wenzako, please admit that this must be a stupid University!

After all those years; 1 or 2 kindergarten, 7 primary level, 4 secondary level, 2 A-level/certificate level (followed by two years diploma level), making a total of not< 16 years of schooling, do we still need to be told how to dress? Is UDOM different from UD, SUA, MUHAS, etc.?

This makes a big problem, no where in this world people get cultured by rules or guidelines. School life should have changed their mind to reject half-up trousers, half-down skirts, smelling mouths, jigger infested legs, keratinised legs, etc. Which breed of leadership exists at UDOM? Is the leadership in tune with its position?

Nimesikia mengi kuhusu UDOM na nawaona vijana munaongozwa na mijitu isiyofaa kuwa hapo ilipo. Mingine tunaisikia inasifika kwa wizi, mingine kwa ushirikina, nk. Yaweza kuwa sababu hata vijana hawajui waendeje. Yaani hata University munawekewa mwalimu wa nidhamu? yaani munafundishwa adabu?

Muhimu ni kufuata sheria siyo kufundishwa adabu chuo kikuu. Mazingira ya chuo na wenzako ni mwongozo safi kabisa! Yaani tena eti munataja askari wa JKT. halafu munasifu?!!

Kwa utaratibu kama huo labda baadaye tutahitaji mkuu wa nidhamu na mienendo ya wabunge na hata Rais ili kukomesha suti za ki-paaa! na suti zinazobana mapaja ya Rais. Nonsense!!!!!!!!!

It seems that UDOM needs to be reconfigured/reformatted.
 
Ndugu yangu first year karibu sana UDOM, ikiwa kuna jambo unataka kulijua la UDOM kwenye college ya humanities and social science niulize nitakusaidia kwa kukujibu na kukupa ufafanuzi.KARIBU SANA UDOM
 
Cwez kukuuliza swali linalohusu college ya education with special neeed-UDOM?Maana nimechaguliwa hapo
 
Nataka kujua kama kuna bar jirani na kama kuna mademu wanaouza utamu
 
Back
Top Bottom