Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

udsm admission letter imeonyesha exactly day ya first year kuripoti shuleni kwa ajili ya registration na orientation coz kabla ya academic yaer kuanza october.but udom academic year inaanza second week ya october,je registration na masuala ya oriantation yatafanyika kabla ya hiyo second week ya october au.kama ndivyo ni lini?
msaada tafadhari
 
udsm wameonyesha exactly day ya first year kuripoti chuoni kwa ajili ya registration na orientation coz kabla ya october ambayo ndio academic year inaanza huko kwao/but udom academic year inaanza second week ya october;je masuala ya registration na orientation yatafanyika kabla ya hiyo second week ya october,au yata fanyika during hiyo second week ya october.msaada tafadhali
 
hahaha!! MAKOLE umenifurahisha unapoandika ALIS. ni Academic Registration Information System(ARIS). Acha kutisha wenzako. Au umetapeliwa na wajasi kule Ng'ox.

Siwapendi, siwapendi na sipendi mtu anayekurupuka na kuongea mambo ambayo sio ya msingi. Inaelekea wewe hata hiyo page ya hicho chuo hujawahi kuangalia, hata matokeo ndo nyie mnagongea kwa wenzenu. Haya ngoja nikupe taarifa, hata hivyo Ningar Jembe ameshanisadia, kuna ARIS hapo unapoangalia matokeo yako na ALIS. Usikurupuke tena!
 
udsm wameonyesha exactly day ya first year kuripoti chuoni kwa ajili ya registration na orientation coz kabla ya october ambayo ndio academic year inaanza huko kwao/but udom academic year inaanza second week ya october;je masuala ya registration na orientation yatafanyika kabla ya hiyo second week ya october,au yata fanyika during hiyo second week ya october.msaada tafadhali
Kwa kawaida hiyo reg. itaanza na itafuatiwa na orientation. kila kitu wataonyesha kwenye joining
 
hivi ukifikka siku ya kwanza udom unaruhusiwa kulala hostel au mpaka uwe registered?
 
unaruhusiwa kulala hostel mkubwa, kuna utaratibu wa kuonyesha Joining yako na payin slip then unapewa usingizi.
 
Niaje wakubwa, thanx wale wote wa UDOM ambao wanadevote muda wao mwingi ktk kuwahost first year students kisaikolojia
naomba kuuliza je,kuna tofauti kati ya JOINING INSTRUCTION FORM NA ADMISSION LETTER which has no sooner to be issued
 
Msaada wenu tafadhari kuhusu hapo udom kuna jamaa angu alikuwa ana principle moja SSD kawa adimitted udom software eng. Anahofia kwenye registration wanaweza mzingua but ni ameandikiwa adimitted
 
sina uhakika ila kwenye guide book inaonyesha principle mbili. Bora uongee na tcu mapemaaaa.
 
Niaje wakubwa, thanx wale wote wa UDOM ambao wanadevote muda wao mwingi ktk kuwahost first year students kisaikolojia
naomba kuuliza je,kuna tofauti kati ya JOINING INSTRUCTION FORM NA ADMISSION LETTER which has no sooner to be issued

kitu hichohicho mkubwa. viingereza tu hivi
 
Msaada wenu tafadhari kuhusu hapo udom kuna jamaa angu alikuwa ana principle moja SSD kawa adimitted udom software eng. Anahofia kwenye registration wanaweza mzingua but ni ameandikiwa adimitted

Kuna wakati wanazingua kwa watu waliokuwa admitted wakiwa na pass ndogo. Fuata ushauri wa 12vigor.
 
udsm admission letter imeonyesha exactly day ya first year kuripoti shuleni kwa ajili ya registration na orientation coz kabla ya academic yaer kuanza october.but udom academic year inaanza second week ya october,je registration na masuala ya oriantation yatafanyika kabla ya hiyo second week ya october au.kama ndivyo ni lini?
msaada tafadhari

Admission Letters for First year students for Academic Year 2012/2013 will be available from 12th September, 2012. Tusubira kama itaonyesha exact date.
 
Oya mkubwa MAKOLE ina maana ile fee structure pamoja na vitu vingine vinakuwa included kwny hiyo adm.letter??
 
hao swala la usafiri bado kitendawili kwao kuna usafiri wa chuo tu mda wa vipindi,kwa starehe au shughuri zako binafsi usafiri akuna ni mwendo wa kuchanganya kwako
:flypig:
 
HAO kina nani mkuu??
 
Back
Top Bottom