MAKOLE
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 618
- 280
- Thread starter
- #241
Kwanini crdb ndo nzur na co nmb
Kuna habari kuwa Bodi ya mikopo inamkataba na benki moja tu ambayo ni crdb katika kusambazo mikopo kwa wanachuo. Kinachofanyika, CRDB hupokea check ya malipo na inajukumu la kuzisambaza kwa wateja hata ambao sio crdb (nmb, nbc...) zoezi hili linasababisha kucheleweshwa kwa fedha za wanachuo wa benki nyingine, uthibitisho wa hili ni kwamba mara nyingi, wanafunzi wanaotumia crdb katika mikopo wanapata pesa mapema zaidi kuliko wa benki nyingine zote. Na pia niliwahi kushuhudia sakata la wanafunzi fulani ambao ni wateja wa nmb wakielekezwa kwenda kwa meneja wa crdb kuulizia cheki yao ya malipo baada ya crdb kuminya nayo. Faida kubwa ni hiyo kwamba utaanza kupata mkopo kwa muda muafaka.