luckyboy_360
Member
- Oct 8, 2014
- 20
- 1
Mbona udsm wametoa ndan ya siku tatu.. mwenge pia st joseph, augustn
Mi naona ad j3 kila kitu fresh
kwa wale walofanikiwa kujiunga na chuo kikuu cha dodoma (udom) especially college of education kama una swali tupia hapa tukusaidie wenyeji wa ng'ox tupo guyz
Kufungua a/c hapo inakaaje chuoni hapo
Kutoka stand ya mji hadi college of informatics kwa Taxi ni bei gani
kuna mtu wa hiyo college anauliza
tax elf kumi, bodaboda elf tatu , daladala 400
Vip kuhusu bachelor of science in chemistry?
Minishapata zakwangu........
Me nitakua collage ya social.
Karibuni UDOM chuo chenye maajabu lukuki
Umepata nini ndugu
Haahaha wanatoa getin nini
Avatar mok na Jonatus nani kashafika udom?