midfielder
Member
- Aug 17, 2014
- 5
- 0
Mtaalam mimi mwenyewe mmoja wao..mafungu yote matatu sioni jina...BSc in phy...
MAKOLE,embu nijuze room udom wanakaa watu wangapi? alafu kuna locker za design gani coz kuna w2 boom watakula na videm,kunywa bia kupita kiasi wakiishiwa wanataka kugongea hadi soap!,unyunyuz na wese,chuo si sekondari! mkuu nijuze,alafu mtu akiishiwa huwa hapo mambo ya maji ya kunywa niaje?

Kumbe ndo namna hiyo aisee. ...hapo bila kusahau kununua mapazIa aisee
CIVE unayoisema naifahamu sana mazombie wacheza game ndio wanafel kwa ufala wao na co ubaya wa chuo na ww kama ni mmoja wao lazma ulidisco na nakipongeza chuo kwa kuondoa mapema ------ ww mana ungeharibu cfa endapo ungegraduate ungeendeleza uajuza wako wakucheza game had kazin, course za computer zinahitaji mcngi mzur na mtu mbunifu na wakujituma co ww unatoka huko na EGM wit BBC (born b4 computer) unataka uwe software engeneering wap na wap ndugu. Ukichagua UDOM jiandae kusoma aswaa la cvyo utarud kwenu mapemaa afu ndio mmaokuja kutapka tapka takataka humu jf na social networks zingne. Sasa nasema hivii "WANAOSEMA UDOM CHUO CHA KATA, CHUO CHA KATA MAMA ZAO."
Wame zi identify ya NMB na Crdb
Ni wewe sasa kuchagua wapi u deposit
MAKOLE,embu nijuze room udom wanakaa watu wangapi? alafu kuna locker za design gani coz kuna w2 boom watakula na videm,kunywa bia kupita kiasi wakiishiwa wanataka kugongea hadi soap!,unyunyuz na wese,chuo si sekondari! mkuu nijuze,alafu mtu akiishiwa huwa hapo mambo ya maji ya kunywa niaje?
HahaHaa hapo mwishoni tuuu...Room watu wanne ila kama ukiwa fresh na waden hata peke yako utaishi tu, mavyumba kibaaaao, pia mwaweza kaa wa2 au wa3. loker kila mtu na lake usije ukabeba la. ukiishiwa bum utakula viazi na karanga tu