Asante mkuu .je naruhusiwa kumiliki photocoping machine hostel?
Iwe portable. .kwanza waweza kuwa na printer inayo toa copy
Kumbe kupiga business ya kupiga coppy kama kawa? hawapigi mkwala?
Uzi huu mi nimeupenda sana kwani licha ya kusaidia UDOM umesaidia hata waendao vyuo vingine angalau kwa picha, kwani wengi walikua wanaogopa sasa uoga unakwisha. kama mimi kwenye suala la vipindi nilizani toka monie to jion .kumbe inategemea na unachosoma kuna siku waweza kutokua na kipindi. dah ama kwel bidii yako tu.
Nusu ya tuition fees na full payment ya direct costs1st year kukamilish reg unatoa mpung kiax gn jamaa???
Unataka msaada gani sasaMsaada nimepangwa bachelor of education in early childhood education..UDOM