Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

Habari zenu jmn.. naombam msaada niko mwaka wa kwanza na nilikuwa nataka kuchange kozi niamie BCOM nimepata division two ya 8..ila nilisomea HGL na sikufaulu hesabu vizuri o level je kwa hapo udom watanikubalia?... :hail:
 
Jamani wadau hii program imekaaje hapo udom Bsc in Business Information System n mpango mzma au magumash
 
Back
Top Bottom