Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

kwa wale walofanikiwa kujiunga na chuo kikuu cha dodoma (udom) especially college of education kama una swali tupia hapa tukusaidie wenyeji wa ng'ox tupo guyz
 
udom llb law ..umesema kuna dressing code .. fafanua tafadhali ni mavazi ya aina gani ni suti au nguo za bongo fleva ??:llama:
 
nimechaguliwa udom 2015 .. sijui wanafungua lini ... sijui kuhusu accomodation ...sijaweza hata ku download application form maana nikijaribu ku login inakataa msaada RAISI WA CHUO:hail:
 
Naomba unielezee mfumo wa uchaguzi wa serikali ya wanafunzi...je kuna kamati ya ushindi?
 
tarehe ya kufungua nikati ya October 12-15 ila maelezo zaidi yatakuwepo kwenye barua ya udahili.kuhusu joining instructions tembelea website ya chuo

Kuna memba mmoja umu alisema tar18.. 🙄🙄🙄🙄 bora kusubiri tu
 
Ndugu yangu first year karibu sana UDOM, ikiwa kuna jambo unataka kulijua la UDOM kwenye college ya humanities and social science niulize nitakusaidia kwa kukujibu na kukupa ufafanuzi.KARIBU SANA UDOM

vip doctor of madecine apo mkuu.....
 
vip doctor of madecine apo mkuu.....

Wewe ndo unajiita mwanachuo kwelii:what::what::what: amesema college ya humanities na social science na wewe unauliza mambo ya college ya afya ..wapi naa wapi
 
Vp kuhusu waliochaguliwa kujiunga na diploma ya secondari Sayansi na mathematics wataripoti lini.
 
Mimi ni chadema damu.nackia hicho ni chuo cha CCM a.k.a masokwe.vp ni kweli?
 
naomba kufahamu kuhusu faculty ya educ with ict ikoje?kwan ikifka utachagua somo moja kati ya uliyosoma au hyo education inayozungumziwa ni ya ict pekee.
 
Back
Top Bottom