Wazo la kabwela
JF-Expert Member
- Feb 13, 2013
- 1,883
- 1,465
...where there is no opportunity....
Create them and stop complaining....
Create them and stop complaining....
wakuu vp kwa wale direct special diploma udom mbona hawatoi utaratbu wa kuaply mkopo mweny kujua msaada?
Mbona watu walishaombaaa kitambooo..... Ila usijali kuna utaratibu wakuombeaa chuoniii kwahiyo usijali kijana
wakuu msaada,,,..naomba mnisaidie ..kuna taratibu gani za kuhama kozi pale udom???
Ushauri naitaj..nmepata nafas ya kujiunga na open university kusomea masters of science in economics by executive module..ila baadhi wanaponda elim ya OUT.so kwa mwenye uelewa wa kiusomi..naomba anipe ushaur.
kaka me nmechaguliwa bachelor of education in early childhood education.Hivi nitapata mkopo?na je kuna access ya ajir?.........naomba msaada mkuu
mi nimechaguliwa udom education with ICT naomba ushauri wenu ni mambo gani ya kuwanayo pia vip habari ya registration Lakini ukiweza waweza nipa ushauri wakunisaidia ahsante. email ni evangelistemygidiusgeorge@gmail.com kwa personal advice.
kaka mm naomba kuulza je hua wanatoa mda gan joining
wakuu naomba kuulza ktk direct cost inaweza ikawa kama lak ngap hv