Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

mhhh kwahiyo ada inalipwa baada ya majina ya mikopo kutoka au inakuwaje
 
Tupo pamoja mkuu hata mm nakuja kupiga msuli hapo kwenye kozi ya maswala ya urubani so tuombeane uzima tu.
 
Dodomaaaa😎😎😎😎
My home place 😉😉😉😉😉😉😉😉

Asante mh. Waziri wa fwedha natumai tutaonana white university


:thumbup::thumbup::thumbup::thumbup::thumbup:
 
kuwa mpole, hawajaupload kwani ni kamchakato kanakohitaji uvumilivi wa wiki au zaidi

Mbona udsm wametoa ndan ya siku tatu.. mwenge pia st joseph, augustn


Mi naona ad j3 kila kitu fresh
 
Dodomaaaa😎😎😎😎
My home place 😉😉😉😉😉😉😉😉

Asante mh. Waziri wa fwedha natumai tutaonana white university


:thumbup::thumbup::thumbup::thumbup::thumbup:

ni waziri wa mikopo sio fedha Avatar mok
 
Last edited by a moderator:
Naomba nfahamishe kuhusu usaji paka uwe Tsh ngap mkubwa mm npo college of social sceince 1st year
 
Je umechaguliwa UDOM kuna vitu vnaktatza uliza sasa college yoyote utapta majibu
 
Back
Top Bottom