Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

Nijuzeni wana udom medical capitation fee kwa wenye bima(NHIF n.k) tutalazimika kuchangia/kuilipa?
 
Msaada jama college ya earth science nkipanda kihice ntasema nashukia wa
 
Kaka nashukuru kwa kutujuza hilo.naomba kaka unisaidie mawasiliano ya professor yeyote anayehusika na mambo ya academic pale UDOM
 
Jamani ..mbona sielewi huu utaratibu.. jina lipo orodha ya Tcu. BSc in phy UDOM..nimefika chuoni naambiwa jina limerudishwa tcu..HAKUNA NOTIFICATION yoyote tcu bado inanionesha SELECTED

wahi bodi kaka mapemaa
 
Hivi humu kuna mwana udom ambae anaenda soma Bch of scienc in phy? Nataka nijue kwa anaefaham hii coz mwisho wake unaweza ajiriwa wap? Alaf kweny barua wamesema colleg yang ni ya natural and math science unapanda magar gan?
 
MSAADA TUTANI....!!BODI washatoa mkopo na fees tayari washatuonyesha sh ngapi wanatulipia!!swali ni jee?mie nilipe kidogo ama natakiwa lipa kama chuo kilivyoniagiza maana chuo kimesema nilipe even hata kama meomba mkopo
 
Unaweza lipa kiasi chote cha ada iliyobakia....au ukalipa nusu ya ada iliyobakia per semister.
 
.Vp kuhusu kukaa hostel adi unamilaza ni kweli? na pia nasikia wanafunz wa udom huwa wanacheleshewa mikopo sanaaaaa! ufafanuz mkuu.
huo ni uzushi mtupu udom nimoja kati ya vyuo vtatu vyakwanza kupata mkopo yaan wakshapata udsm bax udom knafata na hostel n full miaka yote hata kama unataka rum ya pekee ako
 
Kutoka stand ya mji hadi college of informatics kwa Taxi ni bei gani

kuna mtu wa hiyo college anauliza
 
Wale wenye uelewa na bachelor of science in chemistry naomba anijuze vizur, kwa kuniongezea maarifa kwa upande wa soko la ajira imeekaaje
 
Back
Top Bottom