paul kitereja
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 260
- 45
Ndugu yangu first year karibu sana UDOM, ikiwa kuna jambo unataka kulijua la UDOM kwenye college ya humanities and social science niulize nitakusaidia kwa kukujibu na kukupa ufafanuzi.KARIBU SANA UDOM
waliomaliza hapo mbona wengi sana hawana kaz??
hoja zote watu wanazotoa mara chuo kiko hivi mara vile ni utoto tu na ulimbukeni wa maskini wa WATANZANIA, mngejua ukweli baada ya kumaliza kozi zenu msingelumbana kisa chuo, hata uende Harvard ukasome B.SC President or B.A Prime Minister huwezi toka chuoni umtoe Kikwete madarakani ama Pinda madarakani, pigeni kelele tuwasubiri miaka mitatu ijayo mtembee na bahasha hadi mkome, viatu ulivyonunua kwa pesa ya boom vikatike sori ndipo tujue ulisoma chuo gani au unajua nani?
Kitimoto(nguruwe) inapatikana wapi? Na swimming pool ipo kwel?
Swala la kazi inategeme course uliyosoma kuna course ambazo ukimaliza unaajiriwa moja kwa moja na nyingine ukimaliza ukatafute ajira, kama tujuavyo kutafuta kuna kupata na kukosa, Sio UDOM ni vyuo vyote
we limbukeni wa vyuoUna vithibitisho vya maneno usemayo??
shukran ndugu,naomba unijuze kuhusu bachelor of Arts in economics and sociology hapo Udom vip ina dili hiyo?na unaweza badili coz ukishareport chuon?Ndugu yangu first year
karibu sana UDOM, ikiwa kuna jambo unataka kulijua la UDOM kwenye
college ya humanities and social science niulize nitakusaidia kwa
kukujibu na kukupa ufafanuzi.KARIBU SANA UDOM
ni moja kat ya coz znazotolewa na vyou vchache Tz na inaheshima+dili, ila UTOZI/UBISHOO ndo haitaki...vipi hii course hapo mkuu ipo vizuri?BS IN APPLIED GEOLOGY
ukifika chuoni unaweza badili na kuchagua course ingne lakn mpaka Marks ziwe za kutosha kulingana na course husikashukran ndugu,naomba unijuze kuhusu bachelor of Arts in economics and sociology hapo Udom vip ina dili hiyo?na unaweza badili coz ukishareport chuon?
kwa COLLEGE of Education vyumba vpo kibao+ msosi wa WAJASI(coz ni mpakani na wanakijiji_) tna bei chee tu,,, ila COLLEGE kma SOCIAL SCENCE and humanities kule ni uzunguni hamna MAGETOMi bado sijaona jina langu kwenye kirambaza cha udom na ni kwa sababu hawajweka katika airtell yatosha nimeona nimepangwa bed-ict.
mi nina mke na mtoto nahitaji kuishi nje ya chuo nataka kufahamu kuwa vyumba vina bei gani na ni umbali gani kutoka chuo na usafiri ni wa uhakika...
Angalizo natoa mwenye lugha chafu sitomvumilia.
Mi bado sijaona jina langu kwenye kirambaza cha udom na ni kwa sababu hawajweka katika airtell yatosha nimeona nimepangwa bed-ict.
mi nina mke na mtoto nahitaji kuishi nje ya chuo nataka kufahamu kuwa vyumba vina bei gani na ni umbali gani kutoka chuo na usafiri ni wa uhakika...
Angalizo natoa mwenye lugha chafu sitomvumilia.