kumbe bado tuna watanzania wema, pongezi nyingi kwa ukarimu wa kuwakaribisha first years, maskini wao huwa ni waoga,
kisha swala la kuwapokea limenifurahisha mno mngeandika na namba za simu humu kwa watkaojaaliwa wawapigie kabla wasipate taabu
shukran ndugu,naomba unijuze kuhusu bachelor of Arts in economics and sociology hapo Udom vip ina dili hiyo?na unaweza badili coz ukishareport chuon?
we limbukeni wa vyuo
uache ushamba kabisa soma guidebook ya tcu utaona 2.5 bachelor of art with education slot 800 udsm yako hiyo.
Je sasa hapo unanini cha maana na udsm yako?
,kwani katika eneo lako hakuna kata je unajua udsm ipo kata gani?
Na tutaona kama hutazunguka ofisi za kata kuomba kazi
hivi huu ugomvi wa vyuo utaisha lini?yani ka kozi nayotaka kusoma haipo udsm ndo ni c somo chuo kingine au hio kozi niipendayo!kisa ndo chuo bora kwa tz!kozi ya petroleum engineering ina mwaka wa3 sasa udom wakat udsm ndo wanaanza mwaka huu october!hebu tuwe wasomi bac elimu popote!ni wewe tu unavyojituma bwana!
Vp kuhusu mandhari naxkia pa ukwel kama mbeleee
Mier bro vp udongo wa maka n club karibu na chuo uxsahau kuhusu sport pleaz nijuze
vp kuhusu koz ya bed policy planning and management nimeona 2mechaguliwa kama 50 na kitu vp soko lake likoje wangu
kumbe bado tuna watanzania wema, pongezi nyingi kwa ukarimu wa kuwakaribisha first years, maskini wao huwa ni waoga,
kisha swala la kuwapokea limenifurahisha mno mngeandika na namba za simu humu kwa watkaojaaliwa wawapigie kabla wasipate taabu
vp kuhusu koz ya bed policy planning and management nimeona 2mechaguliwa kama 50 na kitu vp soko lake likoje wangu
Ndugu yangu first year karibu sana UDOM, ikiwa kuna jambo unataka kulijua la UDOM kwenye college ya humanities and social science niulize nitakusaidia kwa kukujibu na kukupa ufafanuzi.KARIBU SANA UDOM
vp suala la wizi mkuu
nahic 2takuwa wote kule ng'ong'ona coz nimechaguliwa BED SPED bt cc 2po 144
vp suala la wizi mkuu
na tarehe ya kuripot pia atusaidie