Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

PSPA ndo kozi yangu vp kuhusu wataalam nikimaanisha wahadhiri wapo wa kutosha,.. na je vp kuhusu soko lake la ajira ukiachiliia siasa,..na field huwanyiwa maeneo gani hasa,..samahan kwa ucmbfu !!!!

Program hiyo inatolewa school ya social science. kuhusu wahadhiri wapo wakutosha, kuhusu field mwaka wa kwanza hawana, swala la ajira jitahidi kufaulu vizuri masomo ili iwe wepesi zaidi kupata ajira.
 
ikiwa umepata chuo kama equivalent na umeomba mkopo kwa form 6 ipo tamaa ya kupata mkopo?
 
kumbe bado tuna watanzania wema, pongezi nyingi kwa ukarimu wa kuwakaribisha first years, maskini wao huwa ni waoga,
kisha swala la kuwapokea limenifurahisha mno mngeandika na namba za simu humu kwa watkaojaaliwa wawapigie kabla wasipate taabu
wawe makini kidogo coz wanaweza kupotea chuon wakati wa kuripoti..
 
kumaliza udom c kigezo cha kukosa ajira!inategemeana na kozi unayoisoma na ucompetent wako pia!c o udom hata aliemaliza udsm mambo ni hivo hivo!kwasasa bongo ajira ngumu kupata ni wewe tu utakavyojiuza vizuri kwe interview bila kusahau undugu na uenyeji

sentensi ya mwisho ninakubaliana na wewe mia kwa mia.
 
chuo cha kata kwa7bu waliokuja hapo n wnye cut off point 2.5 kwann ucsome udsm na mataw yake coz n cha kwanza tz na cha 4 afr
we ndio kilaza wa ku2pwa,,unataka kusema udsm hawachukui hadi point 2.5,,,tena mwaka huu kwa taaeifa yako wapo hadi wenye point 2.0 angalia computer science,,co unajisemea 2,,,
 
Nimechaguliwa coz ya education in adult education and comunity development imekaaje hapo mkubwa kuhusu location na maisha kwa ujumla around
 
Nimechaguliwa coz ya education in adult education and comunity development imekaaje hapo mkubwa kuhusu location na maisha kwa ujumla around

Course hiyo inatolewa college ya education, mazingira ya hapo ni mazuri ondoa Shaka, kuhusu maisha hiyo ndio college ambayo maisha yake yapo chini coz ipo karibu sana na kijiki kiitwacho ng'ong'ona so mahitaji mengi yanapatikana kwa urahisi tofauti na school ya humanities. karibu sana UDOM
 
Ndugu yangu first year karibu sana UDOM, ikiwa kuna jambo unataka kulijua la UDOM kwenye college ya humanities and social science niulize nitakusaidia kwa kukujibu na kukupa ufafanuzi.KARIBU SANA UDOM

eti eti udom kuna kina wanauza au basi ngoja niache tu!2015 mtachangishana tena pes au basi tu ngoja niache
 
Back
Top Bottom