chatts55
JF-Expert Member
- Oct 11, 2012
- 600
- 97
Duu! Nilichofikilia baada ya kuiona heading sio kilichomo humu.
Hiv thithi ni wale wenye elimu halafu hatujaelimika eeee!?
Ualimu wa shule ya msingi haumaanish mtu kafeli ni kazi kama kaz nyengine wasomi mliomo humu wasaidie na wasomi wengine waweze kuelimika juu ya hili.
we ndo hujaelimika na aliyeweka 3d hii kwasababu hakuna ofisho aplikanti selected tu Udom