Ndugu yangu first year karibu sana UDOM, ikiwa kuna jambo unataka kulijua la UDOM kwenye college ya humanities and social science niulize nitakusaidia kwa kukujibu na kukupa ufafanuzi.KARIBU SANA UDOM
Eti unaweza kubadilisha facalty...
Eti unaweza kubadilisha facalty...
Duu! Nilichofikilia baada ya kuiona heading sio kilichomo humu.
Hiv thithi ni wale wenye elimu halafu hatujaelimika eeee!?
Ualimu wa shule ya msingi haumaanish mtu kafeli ni kazi kama kaz nyengine wasomi mliomo humu wasaidie na wasomi wengine waweze kuelimika juu ya hili.
nimepangwa hapo BBA evening programe nijuze utaratibu wa masomo haya upoje hapo hasa muda wa vipindi na hostel kama zipo.
rekebisha heading ako umesema udom yote while kwenye maelezo unasema humanities and social science ulamaa gani huko,je wale wa udaktari,wahandisi nk si watakua wamepitia kwenye uzi wako huu kua makini unapoandika usiwe msomi uchwara.
asiposoma hao mabubu na viziwi watafundishwa na nan use your mind bro
Ushauri wako ulikuwa ni mzuri sana lakini umeuharibu kwa kuingiza kashfa, but usjali (muungwana akivuliwa nguo huchutama). karibu kama unaswali uliza nikusaidie
sina swali lolote ni kuwekana sawa mkuu but generally kazi yako nzuri endelea kutoa orientation kwa wadogo zetu.
Ndugu zangu,hivi ni kwa nini mtu wa UDOM akipondwa,na yeye hulipiza kwa kuiponda UDSM hata kama hajapondwa na mtu wa UDSM?WHY ALWAYS UD?
achana nae kapoteza muelekeo huyo usishangae siajabu hata form 4 kafeli
mbinu za vibuti kwny pepa zikoje hapo?
chuo cha kata kwa7bu waliokuja hapo n wnye cut off point 2.5 kwann ucsome udsm na mataw yake coz n cha kwanza tz na cha 4 afr
Hiv first year wanasumbua sana humu. Kama vip admn awaanzishie page yao bhan..