Amoxlin
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 3,781
- 4,118
Najiulizaga hawa vijana wanaosoma engineering wanasaidia nin ktk maendeleo ya viwanda hapa tz zaid ya kuajiriwa kwny kampuni za simu/tv wakati TTCL yetu imedhoofika na wataalamu wapo.
Chakushangaza wavietnam wamekuja na Halotel inayomilikiwa na jeshi tu na imefunika TTCL.
Oooh my Poor Tz
Chakushangaza wavietnam wamekuja na Halotel inayomilikiwa na jeshi tu na imefunika TTCL.
Oooh my Poor Tz