Ushauri kwa Vyuo vikuu: Walau nusu ya wahadhiri wawe na PhD

Ushauri kwa Vyuo vikuu: Walau nusu ya wahadhiri wawe na PhD

UNAFIKIRI TCU WALIFANYA MAKOSA KUWEKA KIGEZO CHA 3.5? VYUO VYA PRIVATE WANAKOKUBALIKA WENYE 3.5 SIYO TANZANIA? HAPA TUNAJADILI DARAJA LA UPPER SECOND CLASS WAPO KUNDI MOJA MAANA WANAFANANA KWA KARIBU.

Sijaona point ya msingi unayojaribu kuijenga. Kwani kuziacha hizo 3.5, 3.6 na 3.7 inapunguza kitu gani? Nimesema hoja ya serikali juu ya vyuo vya umma wamepandisha hizo points tatu ili kupata more cream candidates ili kunyanyua ufanisi wa vyuo vyetu. Tatizo liko wapi?
 
naomba ni kuulize swali kidogo, kwa maelezo uliyoyatoa hapo juu, kuna haja ya Serikali /vyuo vikuu vya serikali kuajiri PhD holders kutoka nchi nyingine kwa kigezo cha GPA ya 3.8 undergraduate angali kuna watanzania wenye PhD husika na GPA za 3.5? huku tunalalamika vijana hawana ajira huku nafasi zao za ajira zinajazwa na wageni bila sababu za msingi.
Ahsante Majeshi. Kwangu binafsi GPA has never been an issue, Na nakumbuka wakati nasoma niliwahi kuvutana na mkuu wangu wa Idara juu ya utaratibu wa GPA kuwa haufai.Hapa nilikuwa nafafanua sera/utaratibu uliopo kwa mujibu wa TCU. Kwangu hoja sio kuleta wa nje wala wa ndani.. kwa sababu kuwa na GPA is just a proxy indicator kuwa unaweza.and we cant sorely rely on that. GPA kwangu sio issue kwa sababu wengine wanazo si zao..kuna waliohonga wakapewa( in various forms: ngono. pombe.urafiki.nk).Binafsi wangeshusha na kulazimisha vuo vyote kuchukua kuanzia walau 3.5; then wakaacha watu wakachuana ktk interview za aina tatu: kuongea,kuandika na practical kabisa..so whether foreign au local to me it matters the least.ni muhimu kukumbuka pia kuwa si sababu ya GPA tu kuwa watu huchukuliwa toka nje! zipo na nyingine nyingi na muhimu
 
siyo sahihi kabisa kuilinganishaGPA yangu ya 3.7 undergraduate BLS SUA na 3.8 undergraduate ya st augustine. Lakini kwa kigezo cha GPA mimi wa SUA tena JEMBE nitaachwa atachukuliwa kilasa.
This argument inaonesha kuwa wewe ndio uwezo wako ni ziro.what is the basis of of this "not well thought of poor argument!!!".Hiyo SUA unayoizungumzia ndivyo mnavyo-argue hivi? Too low and cheap for a presumably better SUA graduate
 
Je, kwa vigezo vyenu TCU, hiki kigezo cha GPA ya 3.8 kiacheni cha undergraduate. Maana huwezi linganisha GPA ya SUA, Udsm, Mzumbe, Tumaini, Arusha University na St Augustin mwanza.
Kigezo cha TCU ni 3.5. Aidha argument yako kuwa GPA za vyuo ulivyovitaja haziwezi kulinganishwa ni ya uvivu wa kufikiri.Unataka kutuambia kila mtu anaye aspire kuwa mtaaluma apewe GPA tofauti ya kuwa nayo kulingana na chuo alichotoka? Halafu nawe unalalamika kuwa unataka kuwa mtaaluma..!
 
Kwanza elimu ya TZ kuwa mtaaluma ni njaa pia. Ingekuwa inalipa wataaluma wasinge kuwa wanaenda kwenye siasa...
 
This argument inaonesha kuwa wewe ndio uwezo wako ni ziro.what is the basis of of this "not well thought of poor argument!!!".Hiyo SUA unayoizungumzia ndivyo mnavyo-argue hivi? Too low and cheap for a presumably better SUA graduate
nilimaanisha mwenye GPA 3.5-3.7 ya jasho lake anaweza akaachwa katika soko la ajira kwa kigezo cha GPA ndogo na akachukuliwa mwenye GPA ya 3.8-5.0 aliyoipata kwa rushwa ikiwamo ngono na fedha kumbe wangechukuliwa na hawa wengine haki ingetendeka na wataalamu waliobora wangepatikana. Mtu mwenye uwezo ataweza kuonyesha uwezo wake hata ukimpa sekunde mbili kudhihirisha uwezo wake. Kwahiyo mimi naendelea kuamini mwenye GPA YA 3.5 ANAWEZA AKAWA MZURI SANA KULIKO 3.8 -5.0 HIVYO NI VYEMA KUWAPA NAFASI PIA.
 
Ahsante Majeshi. Kwangu binafsi GPA has never been an issue, Na nakumbuka wakati nasoma niliwahi kuvutana na mkuu wangu wa Idara juu ya utaratibu wa GPA kuwa haufai.Hapa nilikuwa nafafanua sera/utaratibu uliopo kwa mujibu wa TCU. Kwangu hoja sio kuleta wa nje wala wa ndani.. kwa sababu kuwa na GPA is just a proxy indicator kuwa unaweza.and we cant sorely rely on that. GPA kwangu sio issue kwa sababu wengine wanazo si zao..kuna waliohonga wakapewa( in various forms: ngono. pombe.urafiki.nk).Binafsi wangeshusha na kulazimisha vuo vyote kuchukua kuanzia walau 3.5; then wakaacha watu wakachuana ktk interview za aina tatu: kuongea,kuandika na practical kabisa..so whether foreign au local to me it matters the least.ni muhimu kukumbuka pia kuwa si sababu ya GPA tu kuwa watu huchukuliwa toka nje! zipo na nyingine nyingi na muhimu
NASHUKURU SANA KWA KUNIELEWA, NAWASHANGAA WANAOBEZA GPA YA 3.5 ILIYOWEKWA NA TCU KUFUNDISHA CHUO KIKUU KWA KIGEZO ETI ELIMU ITASHUKA, NADHANI HAWAPASWI KUWA NA HOFU BALI IMANI KUWA WATAPATA WATAALAMU WALIOBORA ZAIDI KWA KUONGEZA WIGO MPANA WA KUWAPATA. WENYE GPA KUBWA HAWANA HAJA YA HOFU KAMA HIZO GPA NDIYO UWEZO WAO KWELI WATAWEZA KUSIMAMA NA KUZITETEA KATIKA INTERVIEW PIA.
 
umemjibu vizuri sana, GPA haifundishi, upper second class ya 3.5 ni kubwa sana kama ni kupima uwezo wa candidate, cha msingi wahusika waonyeshe uwezo wao katika interview, utakuta mtu ana first class lakini ukimpa dakika 15 za kuwasilisha mada ya kitaalamu utalia kwa kumwonea huruma.Pi GPA kubwa lakini uwezo wa kudeliver ni zero
Ndugu haina maana kwamba wenye GPA tajwa hawafanyiwi inteview. Wanafanyiwa sana tu. Vigezo hivyo vinakuwezesha tu kuwa shortlisted kwa ajili ya interview. Ukiitwa tu, ufaulu wako utategemea umahiri wako katika kudeliver.
 
Kuna watu wakishavuka daraja, watalichoma moto au kulibomoa ili wengine wapate shida kuvuka. Hatusemi kusiwe na vigezo lakini tuwe na vigezo vyenye mantiki. Kuna shirika la umma lilikuwa linatafuta HRO wakaweka kigezo cha GPA 3.5.
Jenga la kwako. Mtu mwenye akili anajenga daraja, anavuka, kisha anatengeneza bomu, analilipua. Mugabe staili. Mugabe alikaa porini kupigania uhuru, ukapatikana, akaona ngozi nyeusi ni ya wapumbavu, akaamua kuvuruga kila kitu, wazimbabwe wakaishia kurudi kwenye ufukara. Pia akahakikisha utawala wake unakuwa wa kikatili kama wa mkoloni.
 
Back
Top Bottom