britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 15,636
- 30,004
HakikaMkuu umenena vyema,unaenda kukamata wahalifu ukiwa na waandishi wa habari ili jamii ikuone wewe mchapakazi
Mkuu Britanicca, naunga mkono hoja, tena kufoka foka kungine sio kufoka ni bullying kabisa ambayo kwa wenzetu waliostaaribika, bullying is very serious offence, ma bullies hawastahili kabisa kuwa viongozi!.Hii inaanzia Kwa mkubwa alafu Kwa kina Jerry Muro, Makonda, na Happi wa Iringa
Kufoka foka sio kipimo cha Utendaji bora....Na wala sio kila anayefokewa atawajibika kwa ufasaha kutekeleza maelekezo either kwa kuogopa au kwa kuumizwa na Kauli. Nevertheless, standing order ndio msaafu wa mtumishi!
Najua nje ya viongozi watakaosoma hapa ,kuna wananchi mnaokerwa na Kauli za Unyanyasaji Kwa watendaji, wakati wao viongozi hawana wa kuwafokea
Kuna aliyefoka juu ha kupanda Kwa gharama za maisha (price index Ina indicate)
Kuna anayefoka kuhusu viongozi kupoteza wananchi?
Muwe na Alhamis Njema
Britannica
KabisaLugha za "wewe ni mpumbavu, mjinga, kilaza, nitakuweka ndani" na kadhalika zimekuwa za kawaida kuambiwa watendaji na unakuta Hugo mtendaji ndio yuko sahihi kafuata sheria na kanuni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatukujua TulifichwaSisi watz tuna matatizo!hv walipomteua mtu mwenye brain impairment aongoze nchi walidhani matokeo yake yatakuaje???
Chujio kama watu wanangojea kutangaza tena itakuwaje?Kwani Hilo Chujio Linatoka Kwa Mungu
Unajua Na Wewe Huko Huko Chuo Kikuu Ulikuwa Unasoma Nini? Miezi Sita Tunangoja Chujio Kweli
Kweli mkuu, maana tumeshazoea TOT wakipanda jukwaani kumuimbia sifa mtu sisi hatuchunguzi.Hatukujua Tulifichwa
KweliKweli mkuu, maana tumeshazoea TOT wakipanda jukwaani kumuimbia sifa mtu sisi hatuchunguzi.
Tunasimama kuserebuka, kukata mauno na kushangilia kisha tunatoa kura. Basi wakija ongeza na za NEC, DED na mabox ya polisi IMEKWISHA!
Sent using Jamii Forums mobile app
SanaWakadanrasi ni Vilazaa