Ushauri kwa Viongozi awamu ya 5 , mkipenda uchukue msipopenda acha

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,635
29,967
Hii inaanzia Kwa mkubwa alafu Kwa kina Jerry Muro, Makonda, na Happi wa Iringa

Kufoka foka sio kipimo cha Utendaji bora....Na wala sio kila anayefokewa atawajibika kwa ufasaha kutekeleza maelekezo either kwa kuogopa au kwa kuumizwa na Kauli. Nevertheless, standing order ndio msaafu wa mtumishi!

Najua nje ya viongozi watakaosoma hapa ,kuna wananchi mnaokerwa na Kauli za Unyanyasaji Kwa watendaji, wakati wao viongozi hawana wa kuwafokea

Kuna aliyefoka juu ha kupanda Kwa gharama za maisha (price index Ina indicate)
Kuna anayefoka kuhusu viongozi kupoteza wananchi?

Muwe na Alhamis Njema

Britannica
 
Kwani Hilo Chujio Linatoka Kwa Mungu
Unajua Na Wewe Huko Huko Chuo Kikuu Ulikuwa Unasoma Nini? Miezi Sita Tunangoja Chujio Kweli
 
Hii inaanzia Kwa mkubwa alafu Kwa kina Jerry Muro, Makonda, na Happi wa Iringa

Kufoka foka sio kipimo cha Utendaji bora....Na wala sio kila anayefokewa atawajibika kwa ufasaha kutekeleza maelekezo either kwa kuogopa au kwa kuumizwa na Kauli. Nevertheless, standing order ndio msaafu wa mtumishi!

Najua nje ya viongozi watakaosoma hapa ,kuna wananchi mnaokerwa na Kauli za Unyanyasaji Kwa watendaji, wakati wao viongozi hawana wa kuwafokea

Kuna aliyefoka juu ha kupanda Kwa gharama za maisha (price index Ina indicate)
Kuna anayefoka kuhusu viongozi kupoteza wananchi?
Muwe na Alhamis Njema
Britannica
Mkuu Britanicca, naunga mkono hoja, tena kufoka foka kungine sio kufoka ni bullying kabisa ambayo kwa wenzetu waliostaaribika, bullying is very serious offence, ma bullies hawastahili kabisa kuwa viongozi!.

P
 
Kufokafoka, kuteka watu, kuua watu, kwa kigezo Cha kuleta maendeleo ni sawa na kubaka mwanamke halafu baada ya kubaka unamlipa hela, huo ni ujinga uliopiliza, hatuhitaji maendeleo ya hivyo
 
Watumishi wa Umma wanakuhujumu mchana kweupe sababu wamechoka kudhalilishwa, juhudi zako hazienda kokote. Zaidi ya haya madaraja, hakuna kitakchofanikiwa.

Maoni ya mwanccm haya mimeyabeba sehemu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lugha za "wewe ni mpumbavu, mjinga, kilaza, nitakuweka ndani" na kadhalika zimekuwa za kawaida kuambiwa watendaji na unakuta Hugo mtendaji ndio yuko sahihi kafuata sheria na kanuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengine kufokafoka ni ulemavu, yaani unakuta mtu amezaliwa nao. Mfano mzuri ni yule RC wa Tabora; Aggrey Mwanri! Yule akiongea hata kawaida tu, lazima "afokefoke" huku macho yakimtoka kama afanyavyo rafiki yake Prof. Kabudi.

Sasa wenzangu na mimi kama akina Jerry na sura zao laini, eti nao wanaiga! mwisho wa siku wanaishia tu kugeuka kuwa kituko.
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom