Ushauri kwa vijana wanaohitaji kuoa

Ushauri kwa vijana wanaohitaji kuoa

Si kweli wengi tumelelewa na baba au mama wa kambo hata wewe ukilea si mbaya MAISHA HAYANA KANUNI KAMA ZA HISABATI
 
Dah! Nimesikitika sana, mi na kaka yangu, tumelelewa na baba wa kambo na katulea vizuri kwa mapenzi yote.

Kaka yangu alioa mke akiwa na watoto mapacha, wana miaka 15 kwenye ndoa sasa na wako happy,

Niliolewa nikiwa na mtoto tayari, Ila Nina 10 kwenye ndoa na wala mwanangu hajawahi kuwa tatizo,

Mara nyingi matatizo yanakuja iwapo baba wa kambo hatompokea mtoto yule kama mwanae.

Pia umaskini unachangia, mwanaume anaona kama kaongezewa majukumu,

Hivyo hoja hii sitoikubali kamwe
 
Walezi kwa walezi huwa hawaachani wanapumzishana tu kwa hiyo cha msingi ni kujitunza tu kma dada alivyo toa huo ushahuri hapo juu
 
Vipi kwa we kidume uliyezalisha na hujaoa, mwanao sio kikwazo ujapooa..... Au hii ndo maana ya mfumo dume....?

mwanaume akiwa na mtoto haina shida sana kwanza tegemea mahaba makubwa kwa mwanao maana asilimia kubwa ya wanawake wanakuwa na ww mwanaume kwa kulelewa na kutunzwaa ana mwanamke mjanja atampenda mwanao ili na ww umjali zaidi mwanamke utatoaa mahaba na mahudumu motomotoo
 
Sikubaliani na hoja zako kabisa hapo,wanawake wasumbufu sana kwenye ndoa ni hao hao watoto ambao hawajazaa hata mtoto mmoja,migogoro ya ndoa haijalishi umemuowa nani, kuna mengi sana ambayo yanasababisha hizo vurugu kwenye wala sio sababu wanawake waliokwishazaa,
jaribu kufanya research kidogo tazama ndoa za wanawake waliokwisha olewa na wale ambao ndio kwanza wameolewa ndoa za kwanza utakuja na majibu tofauti na uzi wako hapa,
wanawake walikwishazaa wakaolewa mara ya 2 ni watulivu kwenye ndoa na wanaheshima kuzidi hao wapya

mkuu mbona mshipa ya shingo na jasho la meno linakutokaaa kutetea hoja hii au na ww upo kwenye mtiririko huo
 
Je, ukimuoa kwa sharti la mwanae kwenda kwa baba yake baada akifika umri wa miaka saba halafu mkabaki wewe na mkeo itakuwaje?..
 
je kama huyo aliyezaa naye alishafariki bado hizi factors zako zitakuwa valid?lakini usikariri mambo,usemi wako ni sawa na mtu anayesema kama mwanamke hana bikra hafai kuoa,je uliyemuoa wewe ni bikra ?

kuzaa nje kabla yakuolewa ni vibaya sana,

sio kweli kwamba mtu akizaa lazima atakuwa na mahusiano na huyo mwanaume hyo ni tabia tu ya mtu mwenye tamaa ,

mtu wa hivyo hata kama alikuwa na ex wake mwenye maisha ya afadhali au anayejua kusebeneka zaidi yako ujue hawezi kumuacha. ni tabia ya mtu tu alieyefanya akazaa na aliyefanya hakuzaa wote walifanya kabla ya kumuoa
 
Walezi kwa walezi huwa hawaachani wanapumzishana tu kwa hiyo cha msingi ni kujitunza tu kma dada alivyo toa huo ushahuri hapo juu

sio kweli labda wale wenye umalaya wao tu, mtu ambaye mliachana wa kazi gani? basi inabidi mtu aoe bikra maana kama kufanya nikufanya tu
 
Jifunze hapa
 
Attachments

  • 1450981641332.jpg
    1450981641332.jpg
    65.6 KB · Views: 172
Hili ndo linanifanya nijikaze hadi niolewe ndo nizae..maana kama nacheza makida makida nna hamu na mtoto ili nikifikiria haya natuliza kipago tuliii
 
sio kweli labda wale wenye umalaya wao tu, mtu ambaye mliachana wa kazi gani? basi inabidi mtu aoe bikra maana kama kufanya nikufanya tu

Well said..Kuruka njia ni tabia ya MTU ambayo alikuwa nayo tangu zamani.. Na sio because aliwahi kupata na mtoto so anaweza kurudiana na Baba mtoto wake wakati ni tayari ni Mke WA MTU.. I have people I know very close mke alikuwa tayari ana kids na mume hakuwa nao kabisa but the way they live is absolute amazing , tena mke amemuomba mumewe azae tena mume anamuambia atakavyo vyovyote yeye yuko sawa , hata akitaka wakae tuu na kids walio nao ambao ni 3 kids from the wife , its fine tuu.. Mume anawajali those kids like His .. And He is the one who deal with that Ex ( biological father ) when it comes on issue za kids .. So please usifikiri all women are the same .. Because we are not .. Thanks..
 
Last edited by a moderator:
Dah! Nimesikitika sana, mi na kaka yangu, tumelelewa na baba wa kambo na katulea vizuri kwa mapenzi yote.

Kaka yangu alioa mke akiwa na watoto mapacha, wana miaka 15 kwenye ndoa sasa na wako happy,

Niliolewa nikiwa na mtoto tayari, Ila Nina 10 kwenye ndoa na wala mwanangu hajawahi kuwa tatizo,

Mara nyingi matatizo yanakuja iwapo baba wa kambo hatompokea mtoto yule kama mwanae.

Pia umaskini unachangia, mwanaume anaona kama kaongezewa majukumu,

Hivyo hoja hii sitoikubali kamwe

Testimony hiyo mtoa Mada.. Thank you sister may the Lord Bless your step Father Amen.. Thanks..
 
Rafiki anaoa mwenye mtoto pamoja na kupitia somo hili,mapenzi ni upofu
 
Back
Top Bottom