Ushauri kwa vijana wanaohitaji kuoa

Ushauri kwa vijana wanaohitaji kuoa

Hizi topic zenu ndiyo zinachochea ongezeko la abortions, watoto wa mitaani na vichanga kutupwa majalalani. Inategemea huyo mwanamke kampata huyo mtoto kwenye mazingira gani na anamchukuliaje mzazi mwenziye baada ya tukio hilo. Hivyo sio sahihi sana kuwahukumu wadada/wamama wote waliokwisha zalishwa.
 
Vipi kwa we kidume uliyezalisha na hujaoa, mwanao sio kikwazo ujapooa..... Au hii ndo maana ya mfumo dume....?
 
Sikubaliani na hoja zako kabisa hapo,wanawake wasumbufu sana kwenye ndoa ni hao hao watoto ambao hawajazaa hata mtoto mmoja,migogoro ya ndoa haijalishi umemuowa nani, kuna mengi sana ambayo yanasababisha hizo vurugu kwenye wala sio sababu wanawake waliokwishazaa,
jaribu kufanya research kidogo tazama ndoa za wanawake waliokwisha olewa na wale ambao ndio kwanza wameolewa ndoa za kwanza utakuja na majibu tofauti na uzi wako hapa,
wanawake walikwishazaa wakaolewa mara ya 2 ni watulivu kwenye ndoa na wanaheshima kuzidi hao wapya
 
we utakuwa unaishi angani si duniani.
 
Ili unalolisema binafsi niliwai husiwa na baba yangu mkubwa sababu alishawai ishi na mama ambaye alkuwa ameshazalishwa, so nakubaliana na ww
 
je kama huyo aliyezaa naye alishafariki bado hizi factors zako zitakuwa valid?lakini usikariri mambo,usemi wako ni sawa na mtu anayesema kama mwanamke hana bikra hafai kuoa,je uliyemuoa wewe ni bikra ?

Hata kama amefariki linapungua suala la kufanya mapenzi na baba wa mtoto,na simu kupigiwa hakuna tena,ila migogoro inayotokana na mtoto ipo pale pale na itakupa BP kama umeoa tayari jikaze tu mkuu
 
Sikubaliani na hoja zako kabisa hapo,wanawake wasumbufu sana kwenye ndoa ni hao hao watoto ambao hawajazaa hata mtoto mmoja,migogoro ya ndoa haijalishi umemuowa nani, kuna mengi sana ambayo yanasababisha hizo vurugu kwenye wala sio sababu wanawake waliokwishazaa,
jaribu kufanya research kidogo tazama ndoa za wanawake waliokwisha olewa na wale ambao ndio kwanza wameolewa ndoa za kwanza utakuja na majibu tofauti na uzi wako hapa,
wanawake walikwishazaa wakaolewa mara ya 2 ni watulivu kwenye ndoa na wanaheshima kuzidi hao wapya

Pole sana mkuu jipe moyo
 
Wakati mwingine nguvu za mapenzi zinarahisisha mambo. Mwisho ukweli unabaki pale pale.
 
Mm na baba mtoto mapenz yameisha

Ukihitaji karo ya shule(school fee),utamtafuta akusaidie,pamoja na kujadili mustakabali wa maisha ya mtoto,ndio muda wa kuliwa
 
Msaada mzuri kwa wanotaka kuoani.....plzzzzzzz Dont.... dont oa plzzzzzz.... the woman will kill u..... plz my dear bachelor pals...dont even think of g
 
Back
Top Bottom