Kiluvya ya Leo Sio anapozungumzia mleta mada!Mama aliwai kunambia hili una jua Nini LIFE LESSONS:: 101
MIMI NGOJA NIKAJENGE KIMBIJIII/ KILUVYA/VIKINDU.
Izi siku mbili tatu nimekua naogopa Sana Sanaa siku life langu likibuma itakuaje sijui..Ila sisi tunapambana na hakuna kukata tamaa
MENEMENE TEKERI NA PERESI
Monetary doctor
secretarybird
min -me , kaka umepotea Sanaa au Eveline salt kakufungia
Hii ni kweli kabisa kuna mama mmoja hapa mtaani kwangu anautembeza kwenda mbele kisa jamaa hana kaziTena mwanamke anabadilika viabaya mnoo.
Chukulia mumeo hana kazi wewe unaingia kazini unamuacha home si utakonda ufe kwa stress.
Na maeneo kule makurunge Ila muda sijaenda nisije potea 😁😁Kiluvya ya Leo Sio anapozungumzia mleta mada!
Bruh nipe madiniMama aliwai kunambia hili una jua Nini LIFE LESSONS:: 101
MIMI NGOJA NIKAJENGE KIMBIJIII/ KILUVYA/VIKINDU.
Izi siku mbili tatu nimekua naogopa Sana Sanaa siku life langu likibuma itakuaje sijui..Ila sisi tunapambana na hakuna kukata tamaa
MENEMENE TEKERI NA PERESI
Monetary doctor
secretarybird
min -me , kaka umepotea Sanaa au Eveline salt kakufungia
Kwaio ukifa ghafla watu wanajichukulia tu maana hakuna anepajua 😆Nawasalimu,
Leo nimeona niwape Tip ya Kijanja kuhusu life la mjini, sio kubwa sana ila nzuri na tamu mnoo.
Ukiwa na uwezo walau jenga kibanda kijijini,Sio ulikozaliwa. Iwe sehemu mpya ambayo hata rafiki yako wala mkeo hapajui, Room moja tu inatosha kuanzia.
Huko wakujue kwa jina tofauti, na muonekano tofauti.
Itakusaidia siku vikiharibika mjini unaenda kupumzisha akili na kujipanga.
Nawatakia 7 7 njema.
The Legacy.
Kufa ni matokeo tu mzee.Alafu vya watu akini havipotei.Kwaio ukifa ghafla watu wanajichukulia tu maana hakuna anepajua 😆
Sawa.Kufa ni matokeo tu mzee.Alafu vya watu akini havipotei.
Majasusi wanajua wapi waache alama wapi wasiache alama
Balaa hilo,hujafa tu kwa stress,lakini ukienda kijijini unachili ukipanga mambo yako bila stress.Hii ni kweli kabisa kuna mama mmoja hapa mtaani kwangu anautembeza kwenda mbele kisa jamaa hana kazi
Ngoja tutulize medula tulinde afya hakika mambo MAZURI yanakujaBruh nipe madini
For sure ,Kupambana ni kuzuri sana ndugu yangu,ila kuna vitu mjini vinatakiwa uvipishe kidogo kutuliza akili.Mama aliwai kunambia hili una jua Nini LIFE LESSONS:: 101
MIMI NGOJA NIKAJENGE KIMBIJIII/ KILUVYA/VIKINDU.
Izi siku mbili tatu nimekua naogopa Sana Sanaa siku life langu likibuma itakuaje sijui..Ila sisi tunapambana na hakuna kukata tamaa
MENEMENE TEKERI NA PERESI
Monetary doctor
secretarybird
min -me , kaka umepotea Sanaa au Eveline salt kakufungia
Au unaenda jificha kijiji na Binti wa zamani mnatuliza akili kidogoNgoja tutulize medula tulinde afya hakika mambo MAZURI yanakuja