Ushauri kwa Rais: Ili kukuza uchumi wa nchi na kupata fedha za ujenzi wa miundombinu, Mishahara ya watumishi wa umma na viongozi wa kisiasa ipunguzwe

Wivu tuu. Ulikimbia mwenyewe shule. Wenzako walikomaa sasa wanaishi maisha mazuri kuliko ya kwako. Roho mbayaaaa.
 
Hiyo mishahara wanayolipwa ni midogo bado unataka ipunguzwe? je, ukiambiwa huyo anayelipwa milioni 10 kiuhalisia alitakiwa alipwe milioni 40 utasemaje, sisi bado hatulipi mishahara bali tunalipa kitu kinachofanana na mshahara, toa roho mbaya acha watu walipwe kulingana na elimu zao na taaluma walizozihangaikia kwa muda mrefu.
 
Inatakiwa kila Mtanzania aumie ili tufanye jambo moja kwa umoja
Kabisa. Maana Kama wengine wananeemeka, utakuta mmegawanyika. Wapo wanaoisifu Serikali wapo ambao hawaipendi lakini wenye hiyo mishahara ndo wanaosikika Maana wanna sehemu ya kuongelea lakini Cha ajabu hawausemi ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…