Nani alichochewa?Rais sio mahakama...ninachojua anaweza na anaruhusiwa kutoa msamaha kwa mujibu wa katiba na sio kuingilia hukumu.by the way haki ya wale 500+waliofariki kutokana na uchochezi na mpango wa uhaini inafikiwa vipi?....kwa maoni yako
Basi sawa.Pigia msitari hio sentensi ya mwisho
Mpuuzi wewe.Kuna watu 518 walipoteza maisha kutokana na kauli za kihaini...tunataka haki na si maridhiano na wahaini.
Kwani nn kimempata mtoto pendwa wa idu?, usa? Eu? Nini kimempata huyu nguli wa sheria anayetoa somo mahakamani?
-kwa nini tusiupatie uhuru wa kutosha mhimili wa mahakama mamlaka yake? Kwa nini tunataka mahakama iwe kama mama yako au tecdema?
Tundu asihukumiwa maisha au kunyongwa sitakuja niziamini mahakama za tz na litakuwa pgo kubwa kwangu kwa mhaini kuachiwa!
Kama siyo yeye mbona hakuna ambaye amejitokeza kuandamana hv karbuni?
Kwanza mlisema hamumtambui mh rais samia, hz kelele zimetoka wapi?
nachojua ni kuwa tundu atatoka baada ya uchaguzi mkuu wa 2030. Awamu ya saba ndo itampa msamaha..jaribuni kuheshimu dola hata kama bosi wake ni mama...
Matatizo haya kwa jicho jingine yaweza kufanana na mtu mwenye watoto wajinga/hovyo, au mwenye mbwa wanaoshambulia watu wa nyumbani kwake.Nani wa kumshauri Rais la kutojiongezea doa jingine.
Kwa yale yaliyotokea 29 octoba inatosha kuwa fundisho kwake.
Kumfunga Lisu kwa uhaini litakuwa ni doa jingine ambalo litamtesa na kumtengenezea kumbukumbu mbaya kwa kizazi kijacho.
Atafananishwa na Ma Rais wengine hata pata wa kufanana nae.
Historia itamuhukumu kama Rais aliyeua na kufunga wapinzani wake ili kuweza kutawala.
Bado hajachelewa
Safi sana Mkuu kwa kuwa kauli zake ndo zilifyatulia watu risasi siku zile upo sahihi sana👏👏Kuna watu 518 walipoteza maisha kutokana na kauli za kihaini...tunataka haki na si maridhiano na wahaini.
Kwani nn kimempata mtoto pendwa wa idu?, usa? Eu? Nini kimempata huyu nguli wa sheria anayetoa somo mahakamani?
-kwa nini tusiupatie uhuru wa kutosha mhimili wa mahakama mamlaka yake? Kwa nini tunataka mahakama iwe kama mama yako au tecdema?
Tundu asihukumiwa maisha au kunyongwa sitakuja niziamini mahakama za tz na litakuwa pgo kubwa kwangu kwa mhaini kuachiwa!
Kama siyo yeye mbona hakuna ambaye amejitokeza kuandamana hv karbuni?
Kwanza mlisema hamumtambui mh rais samia, hz kelele zimetoka wapi?
nachojua ni kuwa tundu atatoka baada ya uchaguzi mkuu wa 2030. Awamu ya saba ndo itampa msamaha..jaribuni kuheshimu dola hata kama bosi wake ni mama...
Usifanye mchezo na damu za watu wasio na hatiaNani wa kumshauri Rais la kutojiongezea doa jingine.
Kwa yale yaliyotokea 29 octoba inatosha kuwa fundisho kwake.
Kumfunga Lisu kwa uhaini litakuwa ni doa jingine ambalo litamtesa na kumtengenezea kumbukumbu mbaya kwa kizazi kijacho.
Atafananishwa na Ma Rais wengine hata pata wa kufanana nae.
Historia itamuhukumu kama Rais aliyeua na kufunga wapinzani wake ili kuweza kutawala.
Bado hajachelewa
Binafsi nipo pamoja na Lissu... Nipo tayari kwa lolote... Nahisi Samia hamjui Lissu vizuri!Nani wa kumshauri Rais la kutojiongezea doa jingine.
Kwa yale yaliyotokea 29 octoba inatosha kuwa fundisho kwake.
Kumfunga Lisu kwa uhaini litakuwa ni doa jingine ambalo litamtesa na kumtengenezea kumbukumbu mbaya kwa kizazi kijacho.
Atafananishwa na Ma Rais wengine hata pata wa kufanana nae.
Historia itamuhukumu kama Rais aliyeua na kufunga wapinzani wake ili kuweza kutawala.
Bado hajachelewa
Wahenga wanasema leo kwa lisu kesho kwako.Sisi runaompenda Rais tunalitaka hilo doa.
Kwani nyie wenye roho nzuri mliishawahi kumpenda nani? Mwamba Magufuli mlimsema vibaya. Rais Samia mnamsema vibaya! Tushawazoea!Ni wale mashetani wenye uwendawazimu, ndiyo pekee wanampenda katika uovu wake.
Kama mwanadamu mwenzetu, tunampenda, lakini kwa matendo yake ya kuua watu, kudhulumu haki za watu, , kamwe hatuwezi kuungana naye kwenye huo ushetani wake, ataungana na mahayawani pekee.
Nami zangu ikifika poa. Sasa ni Lissu na LAZIMA anyongwe hadi kufa!Wahenga wanasema leo kwa lisu kesho kwako.
Bila shaka rahisi wako atakuja kukutetea nakukufariji yatakapo kukuta.
Mtasubiri sanaa mntaishia kufa nyinyi kwanza.Nami zangu ikifika poa. Sasa ni Lissu na LAZIMA anyongwe hadi kufa!
Mwenzako amesha zoea madoa na wala hayaogopiNani wa kumshauri Rais la kutojiongezea doa jingine.
Kwa yale yaliyotokea 29 octoba inatosha kuwa fundisho kwake.
Kumfunga Lisu kwa uhaini litakuwa ni doa jingine ambalo litamtesa na kumtengenezea kumbukumbu mbaya kwa kizazi kijacho.
Atafananishwa na Ma Rais wengine hata pata wa kufanana nae.
Historia itamuhukumu kama Rais aliyeua na kufunga wapinzani wake ili kuweza kutawala.
Bado hajachelewa
Kufa ni LAZIMA kwa kila kiumbe. Haja ni unakufaje!Mtasubiri sanaa mntaishia kufa nyinyi kwanza.
Akishanyongwa unafaidika na nini? Dissents bado wataendelea kuwepo, maana wanazaliwa kila siku!Nami zangu ikifika poa. Sasa ni Lissu na LAZIMA anyongwe hadi kufa!
Kweli. One gone, others next!Akishanyongwa unafaidika na nini? Dessents bado wataendelea kuwepo, maana wanaaliwa kila siku!