Mwanaume alimuona huyo mwanamke hana akili na hana pakwenda .. Watoto ni wake hata asipohudumia hawawezi kupata baba mwingine.. kuwa baba ni kibailojia na asili sio kuhudumia au kufunga ndoa ... Mwanamke ndiye mjinga mpka anarisk maisha yake ya kuzaa kwa mtu anayemtumia bila ya heshima ya ndoa.Yeye mwanaume kakubalije kuzaa hao watoto wote na aliyezaa naye anamdhalilisha mbele yao.
Suala la watoto tuache kulitumia kuwahukumu wanawake..... wanabeba mimba ila tendo tunafanya nao na kibaya zaidi sisi ndiyo initiator wa tendo la ndoa kwa jamii zetu.
Opinion: dada wa huyo jamaa hatamani waishi kama anavyomfanya huyu dada.
Kwa mwanaume falaa.Hili umeliamini?
Unaamini yupo mwanaume atamnunia mwanamke/mkewe mwezi mzima?
Hata sielewi nini kinaendelea hapa, uzi uliotajwa wa Perry niliusoma kama chai...
JF ina mambo sana, kuna mwingine juzi kati kameza kijiti, kaja jukwaani chap kuomba msaada...eeish!!
Mimi kosa hapo ni kumpiga mbele ya watoto lakini kumpiga kama alienda nje ya mstari siyo kosa,kingine kwenye mahusiano ya ndoa inafaa tujue (hasa dada zetu) ni nani wa kumtaka ushauri tunapohisi mambo hayaendi sawa,tunao watu waliotuzidi umri kwenye familia zetu huyu mwanamke angeenda kuwataka ushauri siyo kwenda kwa anaolingana nao umri ambao nao wamechanganyikiwa maisha zaidi yake.Kaka kumbuka tunaongelea mwanaume mwenye watoto watatu, aliyekaa mwezi asijue wanakula nini, anayempiga mke na kumdhalilisha mbele ya watoto wake.
Haya hataki ndoa maana kuwa na watoto sio guarantee ya ndoa. Hao watoto wanakula nini kwa mwezi?
Utasema mwanamke alijiondokea mwenyewe(kiburi) utaacha kuondoka kama unapigwa na kudhalilishwa mbele ya wanao.....
Binafsi sijaamini kuna mwanaume anaweza akamnunia mkewe mwezi mzima ndiyo maana nikataka kufahamu mdau ameaminije habari kama hii ya upande mmoja?Unamaanisha hiyo story ni ya kutunga?
Wewe umewahi kukutana nao au umewajua kupitia visa kama hivi?Kwa mwanaume falaa.
Kuna wanaume wana gubu zaidi ya mwanamke
Tunaishi na watu...wapo watu tena wanaume atauchuna mwrzi na usheeWewe umewahi kukutana nao au umewajua kupitia visa kama hivi?
Naamini kama kuepusha shari mwanaume anaweza akakaa kimya siku moja au mbili lakini week mwezi hapana,shida anakuwa ni mwanamke na tatizo kwenye hizi kesi wanawake hutia huruma na wanaume siyo mara zote huulizwa that's why inabaki kujulikana mwanaume ndiye mwenye gubu lakini sivyo.
Acha kudindisha, utafungua nyuzi ngapi sasaBecause am special.... any problem?