Ushauri kwa member anayeitwa Perry

Ushauri kwa member anayeitwa Perry

Na unaandika eti
1. Kupigwa mara moja
2. Kugombezwa mbele ya watoto na dada wa kazi
3. Kununiwa mwezi

Ni mambo ya kawaida?

Yanakuwaje mambo ya kawaida haya?? Unajua aibu ya kugombezwa mbele ya wanao...unajua trauma watakazokua nazo hao watoto.....na huyo dada wa kazi hatamheshimu huyo mama nakuhakikishia.

Kwanza mwanaume unamnuniaje mkeo mwezi mzima!! I don't get it at all
Ninakushukuru sana umeniunga mkono kumlaani/laumu

Eti kupigwa sio hoja?
Kununiwa na mume mwezi sio tatizo?
 
Vipi uzi unafutwa saa ngapi?

Kwasasa nipo tayari nishakamilisha nilichokitaka wanaweza wakafuta sasa.
Mkuu naona una kisirani kama mtoto wa kike, wap nimesema Uzi ufutwe?
 
Mjinga zaidi ni mwanaume....

Wakati unatomba ulijua manii zinamwqgikia wapi?

Angekuwa mataifa mengine huyo child support ingemshukia kama mvua....
Matokeo ya uzinifu makubwa yanampata mwanamke , mwanamke ni muhanga so yeye mwenyewe atumie akili... Mwanaume anaendeshwa na tamaa za ngono ila anajua yupi sahihi wa kuoa.
 
Hilo swali ulilo uliza mwenye jibu ni Perry.

Sijui kama walimfuata jamaa kuhusu hatma na dada yake. Nimeuliza kwenye uzi hajajibu.

Sioni kama ni dalili za kiburi maana mwanamke kaeleza sababu za kuondoka ambazo kaka mtu kaziona za kawaida
...jibu nalopata huyu mwanamke hana mtetezi yeyote.

Nadhani kuna tofauti ya kukaa kimya na kununa labda niambiwe kama ni vitu viwili vyenye maana sawa...na Hawa wanunaji wanamidomo saana hasa wakijua mwanamke hana mtetezi.....
Usually shemeji yako huwezi ukamfuata wewe kumuuliza habari za hatma ya dada yako hilo huulizwa dada mwenyewe na jibu atakalokupa dada ndilo sahihi as longer as ataonekana ameridhia,na wewe kama kaka mtu hutakuwa na cha kumbadilisha kama yeye anaona uhusiano huo una pumzi bado (kitu ninachohisi Perry,au ndugu yeyote alifanya)

Kaziona za kawaida kwa sababu yeye ni mtu mzima anawajua wanawake,utasema labda kupigwa?tena mara moja?hakuweka sababu za nini kilisababisha akapigwa (haitegemewi mwanamke kuwa muwazi ktk hili hata kama chanzo cha kupigwa alikuwa yeye) pia alisema dada yake alikuwa hapati shida kwa shemeji yake,kama hakuwa akipata shida kilichomhamisha ni nini?akikosea asikanywe?nakazia kusema kwa case mezani siyo Perry wala shemeji yake wenye kosa kosa analo huyo dada kusikiliza ushauri wa hovyo kutoka kwa ndugu wa hovyo.
 
We ni vipi Arif , mbona unatuchanganyia mada si ukaandike comment kwenye uzi wake , hapa unaleta habari ambayo haieleweki maana wengine hatujui mmeanzia wapi
 
Matokeo ya uzinifu makubwa yanampata mwanamke , mwanamke ni muhanga so yeye mwenyewe atumie akili... Mwanaume anaendeshwa na tamaa za ngono ila anajua yupi sahihi wa kuoa.
Wote wazinifu mwanamke na mwanaume.

Kwasababu mwanamke ndiye anabeba mimba haina maana hajazini.....

Matokeo ya uzinifu wake ndiyo hayo anmpiga mkewe, hajui watoto wake ndani y mwezi mzima wanakula nini..
 
Kakubali vip kuzaa watoto wote hao bila ya ndoa ? Anatumika kama mke bila ya ndoa miaka yote hiyo.
 
Usually shemeji yako huwezi ukamfuata wewe kumuuliza habari za hatma ya dada yako hilo huulizwa dada mwenyewe na jibu atakalokupa dada ndilo sahihi as longer as ataonekana ameridhia,na wewe kama kaka mtu hutakuwa na cha kumbadilisha kama yeye anaona uhusiano huo una pumzi bado (kitu ninachohisi Perry,au ndugu yeyote alifanya)

Kaziona za kawaida kwa sababu yeye ni mtu mzima anawajua wanawake,utasema labda kupigwa?tena mara moja?hakuweka sababu za nini kilisababisha akapigwa (haitegemewi mwanamke kuwa muwazi ktk hili hata kama chanzo cha kupigwa alikuwa yeye) pia alisema dada yake alikuwa hapati shida kwa shemeji yake,kama hakuwa akipata shida kilichomhamisha ni nini?akikosea asikanywe?nakazia kusema kwa case mezani siyo Perry wala shemeji yake wenye kosa kosa analo huyo dada kusikiliza ushauri wa hovyo kutoka kwa ndugu wa hovyo.
Kaka kumbuka tunaongelea mwanaume mwenye watoto watatu, aliyekaa mwezi asijue wanakula nini, anayempiga mke na kumdhalilisha mbele ya watoto wake.

Haya hataki ndoa maana kuwa na watoto sio guarantee ya ndoa. Hao watoto wanakula nini kwa mwezi?

Utasema mwanamke alijiondokea mwenyewe(kiburi) utaacha kuondoka kama unapigwa na kudhalilishwa mbele ya wanao.....
 
Kakubali vip kuzaa watoto wote hao bila ya ndoa ? Anatumika kama mke bila ya ndoa miaka yote hiyo.
Yeye mwanaume kakubalije kuzaa hao watoto wote na aliyezaa naye anamdhalilisha mbele yao.

Suala la watoto tuache kulitumia kuwahukumu wanawake..... wanabeba mimba ila tendo tunafanya nao na kibaya zaidi sisi ndiyo initiator wa tendo la ndoa kwa jamii zetu.

Opinion: dada wa huyo jamaa hatamani waishi kama anavyomfanya huyu dada.
 
Back
Top Bottom