Ushauri kwa member anayeitwa Perry

Ushauri kwa member anayeitwa Perry

Wapo watu huishi suria (mahusiano ya kindoa yasiyokuwa rasmi) hata miaka 10 then wanafunga ndoa maisha yanaenda wengine wanaachana,hiki kisa nilikisoma juu juu bila kukizingatia sana ila mdau alisema dada ndugu wengine walimshauri aachane na mume arudi kwenye nyumba ya familia na akakubali (dalili za kiburi) ilibidi amalizie alichokimaliza.may be huyo Perry alimfata shemejie kumuuliza hatma ya dada yake akawa anampa ahadi ya kufunga ndoa angefanyaje sasa,akamfunge?

Umesema mwanaume anamnuniaje mwanamke?sina experience nalo hili but nachohisi mimi chanzo hukianzisha mwanamke kwa kununa halafu mwanaume kuepusha ugomvi zaidi anaunga trailer kwa kukaa kimya sasa mwanamke alitegemea aombwe msamaha akiona jamaa kapiga kimya anapiga simu kwao mume kanuna ndiyo habari inakaa hivyo ukichukulia kesi ilipelekwa kwa ndugu lazima wavutie kwa dada yao.

Maisha ya kuishi na mwanamke anayehisi ana backup ya kutosha ya ndugu siyo ya masihara unaweza kukuta jamaa kaona afadhali alivyoondoka mwenyewe maana alishamuelemea.
Hilo swali ulilo uliza mwenye jibu ni Perry.

Sijui kama walimfuata jamaa kuhusu hatma na dada yake. Nimeuliza kwenye uzi hajajibu.

Sioni kama ni dalili za kiburi maana mwanamke kaeleza sababu za kuondoka ambazo kaka mtu kaziona za kawaida...jibu nalopata huyu mwanamke hana mtetezi yeyote.


Nadhani kuna tofauti ya kukaa kimya na kununa labda niambiwe kama ni vitu viwili vyenye maana sawa...na Hawa wanunaji wanamidomo saana hasa wakijua mwanamke hana mtetezi.....
 
Na unaandika eti
1. Kupigwa mara moja
2. Kugombezwa mbele ya watoto na dada wa kazi
3. Kununiwa mwezi

Ni mambo ya kawaida?

Yanakuwaje mambo ya kawaida haya?? Unajua aibu ya kugombezwa mbele ya wanao...unajua trauma watakazokua nazo hao watoto.....na huyo dada wa kazi hatamheshimu huyo mama nakuhakikishia.

Kwanza mwanaume unamnuniaje mkeo mwezi mzima!! I don't get it at all
❤️
 
Kwasababu uzi wangu na nimeanzisha mimi!

Nadhani hawakukuskia waite tena na uwatag.
Na mm comment n yangu na nimeandika mm na huwezi kunipangia cha kuandika
 
Na mm comment n yangu na nimeandika mm na huwezi kunipangia cha kuandika
Nani kakupangia?
Niliandika hivi..
Uzi ukifutwa ungetoa wapi platform murua kama hii niliyokuanzishia ya kuwaita mods waje wafute uzi uliokupa nafasi murua.

Sipangii watu cha kuandika nisichofanya ni kuita viranja ili wafute yalioandikwa na watu wengine.... btn me and you .....nani anacontrol mawazo ya mwenzake?

Wewe unataka mawazo yangu yafutwe wakati mimi nimekuanzishia sehemu ya kuweka mawazo yako...na haya mawazo yako unayoyaweka humu hayataki mawazo yangu yawepo humu.....

Labda nitumie English uelewe au lugha yako mama mkuu?
 
Nani kakupangia?
Niliandika hivi..
Uzi ukifutwa ungetoa wapi platform murua kama hii niliyokuanzishia ya kuwaita mods waje wafute uzi uliokupa nafasi murua.

Sipangii watu cha kuandika nisichofanya ni kuita viranja ili wafute yalioandikwa na watu wengine.... btn me and you .....nani anacontrol mawazo ya mwenzake?

Wewe unataka mawazo yangu yafutwe wakati mimi nimekuanzishia sehemu ya kuweka mawazo yako...na haya mawazo yako unayoyaweka humu hayataki mawazo yangu yawepo humu.....

Labda nitumie English uelewe au lugha yako mama mkuu?
Sawa, tuma salamu kwa watu watatu
 
Afadhali wewe upo tayari kujadili.

Kwa umri wangu usiwe na shaka nishahudia mengi. Huyu mwanamke ni kin'gan'ganizi! Mbona amemwacha jamaa?

Perry atuambie kama walishamfuata jamaa ahalalishe ndoa akakataa na dada yake akaendelea kumn'gan'gania!!

Moja ya sababu kubwa ya kuhusisha familia kwenye mahusiano ni kuepusha ujinga kama huu..... na sishangai kwanini wavulana wengi wananiattack hapa...tumelea vijana wanaoamini kila mzigo wa lawama anatiwishwa mwanamke....mwanamke kapata mimba tatizo ni yeye, anazaa watoto wengi lijinga ni yeye,... kana kwamba hatuhusiki kwenye utengenezaji wa mtoto...


Turudi kwenye context ya dada yake Perry maana ndiyo msingi wa mada.

1. Kupigwa
2. Kugombezwa mbele ya watoto
3. Mwanaume kumnunia mke mwezi mzima....

Hii sio bullying??
Mwanamke kama hajaolewa akazaa hata akipitia hayo yote inakuwa ni kazi bure ,usishangae mume akaenda kuoa mwanamke mwingine..Mwanamke amekuwa mjinga mwenyewe kulikuwa na haja gani ya kuzaa watoto wote hao bila ya ndoa..Atamkamata vip jamaa kwenye haki zake?
 
Mwanamke kama hajaolewa akazaa hata akipitia hayo yote inakuwa ni kazi bure ,usishangae mume akaenda kuoa mwanamke mwingine..Mwanamke amekuwa mjinga mwenyewe kulikuwa na haja gani ya kuzaa watoto wote hao bila ya ndoa..Atamkamata vip jamaa kwenye haki zake?
Mjinga zaidi ni mwanaume....

Wakati unatomba ulijua manii zinamwqgikia wapi?

Angekuwa mataifa mengine huyo child support ingemshukia kama mvua....
 
It's public forum
Maana mada ililetwa ikachangiwa ila wewe kwa kuona kifua kifupi umeifungulia Uzi mwingine.

Tena mbaya unamlaumu jamaa kwa moja kwa moja bila kujua upande wa pili.

Hapa inaonyesha sio tu kwamba unafatilia issue zisizo kuhusu Bali pia ni mtu unaye kurupuka kwenye maamuzi yako.

Alamsiki
Bado sijaona jibu la swali....

Ukimwambia mtu afuate biashara zake wewe mwenyewe unatakiwa ufuate zako.

Next time usiandike kwenye uzi wa mtu "mind your business"

Acha nikuelimishe .....kuchangia kwenye uzi wa mtu mind your own business tayari inadhihirisha wewe haujamind your business.

Watu wanaomind their businesses hawakufungua huu uzi maana biashara zao zinawaweka busy.


Coming back to your so called "it's a public platform "

Yes, it's a public platform indeed and that's why I don't move my nose around telling people to mind their businesses while knowing they are on the public platform.
 
Back
Top Bottom