Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,192
Kwanza nakulaumu saana kwa ujinga ulioufanya. Nimeangalia ID yako umejiunga JF 2011 ikimaniisha wewe ni mtu mzima. I'm disappointed of you.
Kosa mlililolifanya hasa wewe ni kutokusimama na dada yenu....haijalishi yeye ni mkubwa kwako lakini kiafrika mwanaume hasa wa age yako unatakiwa uwe mlinzi wa watoto na ndugu zako wa kuzaliwa.
Usingeruhusu dada yako aishi na mwanaume kwa miaka 8 na kumzalisha watoto watatu bila security yoyote...wapo watu watakaoargue kuhusu hili...Ila miaka 8 watotowatatu? Hakuna ndoa na hakuna dalili za kuhalalisha hii familia. Mlitakiwa mmu-appraoach huyo jamaa na kumwqmbia skia umeishi na dada yetu miaka ya kutosha hivyo tunaomba ufuate taratibu....msingekuwa hata na uhitaji wa mahari.
Wapo wanaume hasa watakaokuambia labda dada yako ana makosa na weaknesses kibao..huwenda hata watoto sio wa jamaa... nani alimforce huyu jamaa kuendelea kuwa naye hadi ana watoto watatu sasa. Akachukue DNA lakini before that akikataa kuhudumia watoto mpelekeni ustawi wa jamii pesa imtoke.
Narudia kusema mlimchekea saana.