madindigwa
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 2,453
- 2,849
Habari zenu ndugu na jamaa ukweli mchungu juu ya hawa ndugu zetu wamachinga.asubuh ya Leo katika mazingira ya ajabu wameanza Tena kujenga vibanda upya walivyo vunjiwa Jana. Hii inasikitisha na kuhuzunisha saana katika mazingira haya, hawa ndugu zetu wanataka kuilaumu serekali itakapo Anza kutumia nguvu.
Ushauri itungwe Sheria ya Jiji kwa yoyotet atakaye onekana kufanya biashara sehemu isio sahihi apelekwe mahakama ya jiji ushaidi ni kukutwa sehemu isio sahihi kufanya biashara adhabu kifungo Cha miezi6 au faini isiyo pungua laki3.
Hapo wataogopa lakini vinginevyo changamoto ni kubwa Sana.