mconservative
New Member
- Aug 18, 2016
- 3
- 8
Naomba kutoa ushauri kwa serikali ya jiji la Dodoma kuhusiana na mnada wa nyama msalato.
kwanza nianze kutoa pongezi kwa mamlaka ya jiji la Dodoma kwa kuenzi utamaduni wa kula nyama kila siku ya jumamosi lakini naomba kutoa ushauri kidogo kuhusiana na mazingira yake ya uchomaji nyama na mazingira yote ya ujumla.
kwakuwa Dodoma imekuwa mji mkuu wa nchi nashauri halmashauri ya jiji itengeneze sehemu ile iwe yakisasa yenye madhari ya kisasa ambayo itafanya kila mtu akifika pale ijiskie fahari kuwepo mazingira yale, jengeni majiko ya kisasa ya kuchomea nyama jengeni mabanda ya kisasa yakuketi ambayo yataweza kutumika katika kipindi chote cha mwaka, jengeni garden nzuri eneo lile, jengeni kwa namna ambayo kila mtu akifika Dodoma atamani kufika pale na kujivunia ( wekeni heshima kama ya salt bae wa Dubai anasifika dunia nzima kwa sababu tu ya unadhifu wake na makeke yake katika kuhudumia wateja)
Afisa afya wa jiji hakikisha watoa huduma ya nyama pale wanakuwa nadhifu wale wanao kata nyama basi wavae groves maalumu, hali iliyopo sasahivi hakuna usafi kabisa., najua ni utamaduni wetu kuhudumiwa vile lakini sasa Dodoma inapokea wageni wengi from all over the world wengine kuona vile wanapoteza hamu yakula.