Ushauri kwa Halima Mdee

Ushauri kwa Halima Mdee

Shida iko sehemu moja tu! Ataweza kuvumilia njaa, na hasa pale itakapo panda kichwani? Kumbuka njaa haina baunsa.
Wanajiendekeza tu. Miaka yote hii waliyokuwepo bungeni kwa nini wasijiwekeze. Wana posho na malupulupu kibao. Mfano ukiingia tu kuna mkopo wa zaidi ya milioni 500 za gari. Bado maposho mengine. Yanatosha sana kukufanya uushi vizuri tu. Halima ana mashamba ya maparachichi huko njombe zaidi ya heka 100
 
Pacha wake Bulaya tayari huko
Yeye nadhani kesho au keshokutwa
 
Nimeshuhudia wimbi la Wabunge wenzako waliotoka CHADEMA wakihamia Vyama vingine. Mimi nakushauri narudia tena nakushauri usije ukachukua uamuzi wa kuhamia Chama kingine. Wewe umetoka mbali na CHADEMA tangu kuanzishwa kwa Chama hicho. Umekulia humo, umekijenga Chama hicho mpaka kikafikia hatua ya kuwa Chama Kikuu cha upinzani. CHADEMA sasa hivi ni Chama tishio na kina wanachama wapatao millioni 16 na kinapendwa na wananchi.

Kama CHADEMA hakitaingia kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi nakushauri Mhe. wewe vumilia na miaka mitano siyo mbali na CHADEMA itarudi kwa kasi ya kutisha. Niamini come 2030 CHADEMA inaweza kuwa Chama Dola.

Mhe. Mdee wewe vumilia achana na kuhama CHADEMA Oktoba 2030 wewe ndo utakuwa Mhe. Waziri wa Sheria na Katiba.
Halima aliishasema anatamani aendelee na Chadema isipokuwa kama watamfungia milango hapo ndipo ataangalia namna nyingine. Halima is very firm i trust her. Bulaya yuko sahihi kurudi CCM ndiko alikokulia sawa na Halima kwa Chadema.
 
Lisu hahitaji kusaidiwa, katafute hao mnaowasaidiaga ndio uwatishe.
haitaji maana ni mbinafsi, anajiona yeye ndio yeye anaweza kila kitu, mjuaji, hana busara, anatumia mdomo wake vibaya, yaan yeye anaona ana akili saaanaaa, wenye akili wako wanawaza kuishi mwezin, wanawaza wanaweza je kubadilisha maisha ya binadamu kisayansi na sio kupiga mdomo maana mdomo kila mtu anayo,
 
Kwa wanayofanyiwa Chadema wakiwa wamesimama na Agenda ya wananchi ya NRNE baada ya uchaguzi kwa namna yoyote watakuwa na credibility mno kwa wananchi. Believe me.
 
Nimeshuhudia wimbi la Wabunge wenzako waliotoka CHADEMA wakihamia Vyama vingine. Mimi nakushauri narudia tena nakushauri usije ukachukua uamuzi wa kuhamia Chama kingine. Wewe umetoka mbali na CHADEMA tangu kuanzishwa kwa Chama hicho. Umekulia humo, umekijenga Chama hicho mpaka kikafikia hatua ya kuwa Chama Kikuu cha upinzani. CHADEMA sasa hivi ni Chama tishio na kina wanachama wapatao millioni 16 na kinapendwa na wananchi.

Kama CHADEMA hakitaingia kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi nakushauri Mhe. wewe vumilia na miaka mitano siyo mbali na CHADEMA itarudi kwa kasi ya kutisha. Niamini come 2030 CHADEMA inaweza kuwa Chama Dola.

Mhe. Mdee wewe vumilia achana na kuhama CHADEMA Oktoba 2030 wewe ndo utakuwa Mhe. Waziri wa Sheria na Katiba.
We ngedere jishauri ww huna uwezo wa kumshauri Halima, sk zote hzo ushawahi kumshauri? Bwege kwl
 
Nimeshuhudia wimbi la Wabunge wenzako waliotoka CHADEMA wakihamia Vyama vingine. Mimi nakushauri narudia tena nakushauri usije ukachukua uamuzi wa kuhamia Chama kingine. Wewe umetoka mbali na CHADEMA tangu kuanzishwa kwa Chama hicho. Umekulia humo, umekijenga Chama hicho mpaka kikafikia hatua ya kuwa Chama Kikuu cha upinzani. CHADEMA sasa hivi ni Chama tishio na kina wanachama wapatao millioni 16 na kinapendwa na wananchi.

Kama CHADEMA hakitaingia kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi nakushauri Mhe. wewe vumilia na miaka mitano siyo mbali na CHADEMA itarudi kwa kasi ya kutisha. Niamini come 2030 CHADEMA inaweza kuwa Chama Dola.

Mhe. Mdee wewe vumilia achana na kuhama CHADEMA Oktoba 2030 wewe ndo utakuwa Mhe. Waziri wa Sheria na Katiba.
Poyoyo kwl, utamlisha? Siasa ndio maisha yake, chadomo imeshakufa we zombie
 
Achana na malaya nchi ina watu mil 64 mnakosa watu potential mnakalia kuwalilia watu malaya design ya Mdee,bulaya,Hanje,Kaboyoka,Mwaifunga,Matiko,na wasenge kadhaa!! Nayemhurumia hapo ni Mama yangu Lwamlaza huwa namheshimu lkn naye akienda basi tena nae namuweka kwenye jalala natulia
We kenge tuliza hilo tako pambana na mambo, mburukenge unatoa povu kuna mtu unamlisha?
 
..labda chaumma au act kutamfaa zaidi.

..lakini wabunge 19 wana kazi ya ziada kurudisha imani ya wapenda mabadiliko waliyopewa wakati wakiwa chadema.

..nadhani wananchi bado wanatamani kusikia toka kwa wabunge 19 hatua kwa hatua kwa utaratibu gani walifika bungeni.
Ni ngumu. Ukiangalia Dr. Slaa anavyo jitahidi kurudisha heshima yake lakini bado matamshi yake yanamsuta.

Halima na hao Esther wawili walionekana kama mfano wa kuigwa. Walionekana ni wapambanaji kama alivyokuwa Winnie Mandela. Watu walikuwa tayari kuumizwa kwa ajili yao.

Mtu kama Bulaya alikubalika sana halafu leo anatamka maneno ambayo yanaweza kutafsiriwa kuwa alikuwa kazini kwa niaba ya chama chake cha awali!

Sidhani kama wataweza kuelezea kinaga ubaga waliishia vipi gereji. Hamna atakayewaamini. Wote watachukuliwa kuwa walikuwa mamluki. Inasikitisha sana

Amandla...
 
Shida iko sehemu moja tu! Ataweza kuvumilia njaa, na hasa pale itakapo panda kichwani? Kumbuka njaa haina baunsa.
miaka yote aliyokaa Bungeni, kama hajaweza kuitibu njaa, basi hata hiyo miaka mitano haitomsaidia kitu. asikilize USHAURI murua huo hapo juu
 
Kama CHADEMA hakitaingia kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi nakushauri Mhe. wewe vumilia na miaka mitano siyo mbali na CHADEMA itarudi kwa kasi ya kutisha. Niamini come 2030 CHADEMA inaweza kuwa Chama Dola.
Kimsingi ninakubaliana na ushauri wako, hasa unapomhusu mtu kama huyu Binti ambaye alionekana kuwa na ari ya kuwatumikia waTanzania kwa dhati ya moyo wake.

Tatizo la nyakati hizi ni msukumo unaobebwa na utumishi huo kwa wananchi. Hiyo mistari miwili niliyoinyanyua hapo juu ni wazi kuwa sababu kuu ya kuingia kwenye siasa ni kujitafutia maslahi binafsi, mbele kwanza kabla ya kitu kingine chochote. Hili ndilo limefanya siasa iwe ya hovyo, hasa chini ya utawala huu wa CCM.

Halima arudi ndani ya CHAMA, kwa lengo la kukijenga chama kiweze kufikia malengo waliyo nayo kwa manufaa ya nchi hii.
Asirudi ndani ya chama, kama lengo lake kuu ni kutafuta uongozi ili afaidike yeye kwa mgongo wa waTanzania.
Kama lengo ni hilo, ni bora aingie CCM, kama walivyo fanya wenzie.
 
Mnapoteza muda kujadili hizo malaya,,,wtz mil64 tukose watu potential wa kupambaniq chama mpaka mzitamani Malaya zirudi chamani
 
Halima achana na wanao shupaza shingo. Njoo tujenge nchi. Achana na wana harakati. Njoo CCM chama kubwa barani Afrika
 
haitaji maana ni mbinafsi, anajiona yeye ndio yeye anaweza kila kitu, mjuaji, hana busara, anatumia mdomo wake vibaya, yaan yeye anaona ana akili saaanaaa, wenye akili wako wanawaza kuishi mwezin, wanawaza wanaweza je kubadilisha maisha ya binadamu kisayansi na sio kupiga mdomo maana mdomo kila mtu anayo,
Wakati lissu anapata div 1.7 ilboru baba ako alikuwa kijijini anauza taputapu kijijini na kuvalishwa ma tishirt ya ccm huku akiwa miguu peku
 
Nimeshuhudia wimbi la Wabunge wenzako waliotoka CHADEMA wakihamia Vyama vingine. Mimi nakushauri narudia tena nakushauri usije ukachukua uamuzi wa kuhamia Chama kingine. Wewe umetoka mbali na CHADEMA tangu kuanzishwa kwa Chama hicho. Umekulia humo, umekijenga Chama hicho mpaka kikafikia hatua ya kuwa Chama Kikuu cha upinzani. CHADEMA sasa hivi ni Chama tishio na kina wanachama wapatao millioni 16 na kinapendwa na wananchi.

Kama CHADEMA hakitaingia kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi nakushauri Mhe. wewe vumilia na miaka mitano siyo mbali na CHADEMA itarudi kwa kasi ya kutisha. Niamini come 2030 CHADEMA inaweza kuwa Chama Dola.

Mhe. Mdee wewe vumilia achana na kuhama CHADEMA Oktoba 2030 wewe ndo utakuwa Mhe. Waziri wa Sheria na Katiba.
Angekuwa karibu yako kwa ushauri uo angekudhaba Kelbu moja takatifu, yani we unamshauri mwenzako akae na njaa!?
 
Back
Top Bottom