Ushauri kwa Halima Mdee

Ushauri kwa Halima Mdee

Miaka mitano ni mingi aisee tena ukijua ulikuwa na fursa ila ukaichezea mwnyw, mm naona achague upande anaouona ni bora kwake.
Nyerere angekuwa anaangalia maslahi yake wala tusingepata uhuru maana angewaambia waingereza wampe anachotaka ili atutelekeze watanganyika!! Hivi nyie malaya mmetoka mbingu gani!?
 
Yuko shinyanga kachukua fomu ya kugombea Ubunge shinyanga town anashinda mapema sana
Wampitishe tu mwamba ..pamoja na yote yaliyopita ila ni mtu makin sana na well educated, alitulia na alituliza kichwa kwenye mawimbi..na utanisahihisha kama nimekosea kua hajahitaji wapiga picha na attention kujitangaza ..kama wengine wanavyojionesha wakichukua fomu
 
Wampitishe tu mwamba ..pamoja na yote yaliyopita ila ni mtu makin sana na well educated, alitulia na alituliza kichwa kwenye mawimbi..na utanisahihisha kama nimekosea kua hajahitaji wapiga picha na attention kujitangaza ..kama wengine wanavyojionesha wakichukua fomu
Yap alichukua fomu kimya kimya watu wake wa karibu ndo tunajua smart sana yule mwamba na Exposure kubwa natamani hawe hata waziri katuliza akili sana
 
Yap alichukua fomu kimya kimya watu wake wa karibu ndo tunajua smart sana yule mwamba na Exposure kubwa natamani hawe hata waziri katuliza akili sana
Tupe mchango wake katika kulikwamua Taifa chini ya mikono ya majizi na walanguzi
 
Hama hama ya vyama inapotezaga watu makini sana kwenye uwanja wa siasa kama wakina matiko na Bulaya Wakikosa Ubunge jua ndo bye bye kwenye siasa za Tanzania labda wakumbukwe kwenye UDC na RC basi ila kisiasa ndo wameenda kujimaliza bora wangetulia miaka mitano ipite Mbona Masele wa shinyanga alivumilia now karudi kwenye Game
Nao wameenda kubet wakijua hawashindi ila kuna maisha mengine baada ya uchaguzi.
 
kwahiyo sio Covid 19 tena, au mmesau mlivyokuwa mnamkejeli, hiv unafaham halima ccm ndio umemfariji mpaka hapo alipo na anajua mwoyoni mwake. labda mzee wa busara km Mbowe arudi ila sio huyu mtu asiyekuwa na hekima wala busara na mropokaji. ndio maana hata hakuna mtu anayemsaidia huko maakaman maana hana shukrani sana akitoka anaanza na yule aliyemsaidia bila hata kuwa na aibu

PAKA WA LUMUMBA kazini....!!
 
Avumilie, hata mambo yakigoma atakuwa anampiga mzinga mshakaji wake Bulaya
 
Nimeshuhudia wimbi la Wabunge wenzako waliotoka CHADEMA wakihamia Vyama vingine. Mimi nakushauri narudia tena nakushauri usije ukachukua uamuzi wa kuhamia Chama kingine. Wewe umetoka mbali na CHADEMA tangu kuanzishwa kwa Chama hicho. Umekulia humo, umekijenga Chama hicho mpaka kikafikia hatua ya kuwa Chama Kikuu cha upinzani. CHADEMA sasa hivi ni Chama tishio na kina wanachama wapatao millioni 16 na kinapendwa na wananchi.

Kama CHADEMA hakitaingia kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi nakushauri Mhe. wewe vumilia na miaka mitano siyo mbali na CHADEMA itarudi kwa kasi ya kutisha. Niamini come 2030 CHADEMA inaweza kuwa Chama Dola.

Mhe. Mdee wewe vumilia achana na kuhama CHADEMA Oktoba 2030 wewe ndo utakuwa Mhe. Waziri wa Sheria na Katiba.
Halima yupo CHAUMA kitambo sn
 
Shida iko sehemu moja tu! Ataweza kuvumilia njaa, na hasa pale itakapo panda kichwani? Kumbuka njaa haina baunsa.
Ni wakili wa kujitegemea huyo, anapataje njaa? Anaweza kukaa hata kwenye firm moja tu ya sheria na akapiga pesa ya kula
 
Back
Top Bottom