Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 2,633
- 2,378
Usimpangie vyama vya siasa viko vingi siyo tu chadema .Chadema ya sasa inaongozwa na mazwazwa
Nimeshuhudia wimbi la Wabunge wenzako waliotoka CHADEMA wakihamia Vyama vingine. Mimi nakushauri narudia tena nakushauri usije ukachukua uamuzi wa kuhamia Chama kingine. Wewe umetoka mbali na CHADEMA tangu kuanzishwa kwa Chama hicho. Umekulia humo, umekijenga Chama hicho mpaka kikafikia hatua ya kuwa Chama Kikuu cha upinzani. CHADEMA sasa hivi ni Chama tishio na kina wanachama wapatao millioni 16 na kinapendwa na wananchi.
Kama CHADEMA hakitaingia kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi nakushauri Mhe. wewe vumilia na miaka mitano siyo mbali na CHADEMA itarudi kwa kasi ya kutisha. Niamini come 2030 CHADEMA inaweza kuwa Chama Dola.
Mhe. Mdee wewe vumilia achana na kuhama CHADEMA Oktoba 2030 wewe ndo utakuwa Mhe. Waziri wa Sheria na Katiba.