Yes arumeru chama ni ccmAnarud arumeru.ama.sehem.nyingine...na si alihamiaga ccm huyu
Ramani yake ya kisiasa imepoteza mwelekeo.Halima kwa sasa sio mwanachama wa CHADEMA. Alishafukuzwa yeye na wale wenzie 18 ambao wanatengeneza kile kinachitwa covid 19.
Anachopaswa kufanya ni kuomba radhi na aombe tena uanavhama upya. Anaweza akakubaliwa au kukataliwa. Kwa alivuo sasa na misimamo ya mwenyekiti, ushauri wako hauna maana.
Ukute kashat#mbea karibu zote maana inasemekana ni tomboyHizo hela zote amekuwa akilipwa miaka yote alikuwa anapeleka wap?
Hata akihama chama njaa iko palepaleShida iko sehemu moja tu! Ataweza kuvumilia njaa, na hasa pale itakapo panda kichwani? Kumbuka njaa haina baunsa.
Halima Mdee ni mwanasheria. Hawezi kupata njaa kiasi cha kutamani ubunge. Ila hata mimi ningemshauri arudi Chadema.Shida iko sehemu moja tu! Ataweza kuvumilia njaa, na hasa pale itakapo panda kichwani? Kumbuka njaa haina baunsa.