Wacha tufanye maonyesho ya ndani kwanza tuongeze mapatoHadi sasa shirika letu la ndege ATCL lina zaidi ya ndege 10, baadhi ya ndege hizo hazina kazi yeyote ya kufanya kulingana na mahitaji ya sasa zaidi ya kupaki uwanja wa ndege JKNIA.
Inavyoonekana shirika halikuwa limejipanga kupokea ndege nyingi kiasi hiki kwa wakati mmoja, na kwa sasa shirika haliko tayari wala halina uwezo wa ku 'operate' ndege zaidi ya kumi, ninavyoona uwezo wake ni wa kuendesha shirika lenye ndege moja au mbili tu tena za ndani.
Nashauri, wakati ATCL ikijipanga ki mikakati ya kuliendesha shirika kwa ufanisi, ikiwemo kupata management bora, kupata kibali cha kuruka nje, IATA, kufanya utafiti wa 'routes' zenye faida, ku train marubani wake, air hostess, kujenga karakana ya kufanyia service nk, bora baadhi ya ndege tuzikodishe hadi hapo tutakapokuwa tayari kuliko kuendelea kukaa uwanjani zikipigwa jua, mvua na vumbi, na kuzichosha kwa safari fupi ya Mwanza.
Nashauri, Dreamliner Boeing 787, ikodishwe, Airbus zote mbili zikodishwe na Bombardier moja ikodishwe, shirika libaki na angalau bombardier mbili kwa ajili ya safari za ndani.
ATCL hawatakuwa wa kwanza kukodisha ndege zao, mashirika makubwa kama Ethiopia Airlines, South African Airlines hukodi na kukodisha ndege kulingana na mahitaji ya soko la wakati huo.
Faiza Foxy ana depression so just ignore her..ana matatizo mengi katika maisha yakeBinaadam hatujakamilika hakuna asiyekuwa na mapungufu. Niambie kuwa wewe Mungu ili usiwe punguani.
Punguani wahed
Wacha kudanganya wewe, gari ipi uliyoiona ije "knock" kwa kuegeshwa muda mrefu?Hata gari ikipaki muda mrefu injini hu knock sembuse ndege.
Note that, Ndege inahesabiwa masaa tangu itengenezwe yakiisha na muda wake wa kuwa hewani unakwisha.
Kikubwa hapo ujumbe umefika na umeeleweka kwa wahusikaMchague vizuri mimea ya kuvuta jamani..Ona huyu, eti wana ndege zaidi ya 10.
Binaadam hatujakamilika hakuna asiyekuwa na mapungufu. Niambie kuwa wewe Mungu ili usiwe punguani.
Punguani wahed
Ina maana ujumbe hukuuelewa?Hizo ndege kumi zimetoka wapi?? Atcl wamekodoshiwa wao hawana kibali cha kukodisha labda useme serikali ikodishe
Binaadam hatujakamilika hakuna asiyekuwa na mapungufu. Niambie kuwa wewe Mungu ili usiwe punguani.
Punguani wahed
FaizaFoxy Emirates hakuna ccm kuna management watu wamesoma kazi hizo biashara ya anga haitaki propaganda hapa kwetu ccm waliofanya mchakato wa manunuzi ya ndege hizi ukiwachunguza utakuta wana PHD za propaganda na ndege wapi na wapiWewe kweli punguani, utapata "routes" na kibali bila kuwa na ndege?
Halafu kwa fikra zenu za kimaeikini mnaona ndege kumi nyiiingi sana, kuna wenzenu wanaagiza ngapi...
Emirates airline ordered 70 Airbus jets at a value of $21.5 billion (Dh78.97bn) and reached an agreement with the plane manufacturer to receive 14 more A380s, whose production will stop by 2021.
Airbus to scrap A380 production by 2021 as Emirates orders 70 smaller jets
Kama leo umelala na mwanamme akakukopa usimalizie hasira kwenye uzi wangu.Binaadam hatujakamilika hakuna asiyekuwa na mapungufu. Niambie kuwa wewe Mungu ili usiwe punguani.
Punguani wahed
Sikiliza kwanza kwa makini ujumbe wa wimbo huu, mwambie na huyo punguani mwenzako ausikilize:Faiza Foxy ana depression so just ignore her..ana matatizo mengi katika maisha yake
So dont argue with a fool..cos urself u will be named like her
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaonekana una frustration, good bye.Wacha kudanganya wewe, gari ipi uliyoiona ije "knock" kwa kuegeshwa muda mrefu?
Hivi unaelewa hata maana ya gari ku "knock"?
Wewe kweli punguani, utapata "routes" na kibali bila kuwa na ndege?
Halafu kwa fikra zenu za kimaeikini mnaona ndege kumi nyiiingi sana, kuna wenzenu wanaagiza ngapi...
Emirates airline ordered 70 Airbus jets at a value of $21.5 billion (Dh78.97bn) and reached an agreement with the plane manufacturer to receive 14 more A380s, whose production will stop by 2021.
Airbus to scrap A380 production by 2021 as Emirates orders 70 smaller jets
Asante.Faiza Foxy ana depression so just ignore her..ana matatizo mengi katika maisha yake
So dont argue with a fool..cos urself u will be named like her
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unataka kusema tusifanye kwa kuwa CCM ndiyo inaongoza Tanzania?FaizaFoxy Emirates hakuna ccm kuna management watu wamesoma kazi hizo biashara ya anga haitaki propaganda hapa kwetu ccm waliofanya mchakato wa manunuzi ya ndege hizi ukiwachunguza utakuta wana PHD za propaganda na ndege wapi na wapi
Kalime na kavue ulikatazwa? Wacha sisi tuwapatie ajira watoto wa wakulima na wavuvi waliopiga kitabu na kuwa marubani.Sisi hatuna hela za mafuta kama waarabu. Na wala hatuna uzoefu na hiyo biashara. Badala yake sisi tuna ardhi kubwa inayofaa kwa kilimo ,uvuvi na ufugaji na vijana wengi wasio na maarifa wala mitaji ya kufanya kilimo na ufugaji wa kisasa
Hiyo hela tungeielekeza huko. Huko tusingekosa wateja kama tunavyokosa wateja kwenye ndege mpaka zinapaki muda mrefu
Kalime na kavue ulikatazwa? Wacha sisi tuwapatie ajira watoto wa wakulima na wavuvi waliopiga kitabu na kuwa marubani.
Kalime na kavue ulikatazwa? Wacha sisi tuwapatie ajira watoto wa wakulima na wavuvi waliopiga kitabu na kuwa marubani.
AsanteNchi ya Ethiopia Wana shirika kubwa la Ndege kuliko yote Africa,Wana SGR,Wana Miundombinu mizuri sana ya Barabara Flyover, Reli (Metro)ukilinganisha na sisi na vitu tunavyotaka kuvifanya... Lakini mbona Wananchi wao tena vijana wanaikimbia Nchi? Wapo radhi wafungiwe kwenye Containers Ili wavuke kwenda South Africa. Maendeleo ni watu! sio vitu. PERIOD.